yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,874
- 3,285
Duh hii nayo ni balaa, ila hukumkaza kiuhakika,Daaaaah wakuu hii sijui ndo kimasihara au ....iko hivi.......
Kuna manzi nilikuwa nafahamiana nae sana,sikuwahi hata siku moja kumuomba game
Mazoea yetu yalikua ya kirafiki tu,ni mzuri lakini sikuwahi kufikiria kumpelekea moto
Iyo siku sasa...natoka home naenda zangu TRA kulipia leseni,namkuta nayeye TRA office( mkoa sitataja na TRA ni ofisi tu nilioichagua kuficha uhalisia wa tukio) tukapiga story tu kawaida sana zile normal kabisaaaa
Namaliza shida zangu TRA naondoka nawasha gari,namuona yeye anataka kupanda bajaji,namstopisha namwambia apande kwenye gari nimsogeze anapoenda
Ndani ya gari namwambia,daaaaah Monie(sio jina halisi) leo umependeza sana,akajibu asante,akanyamazaa,tukaendelea na story zingine
Mpaka leo Sielewi ilikuaje kuaje,badala ya kumpeleka anapoenda nikampeleka mpaka Lorge
Imagine,anaona naingia Lorge na gari,kakaa kimya, nashuka nae kakaa kimya,namwambia twende reception kakaa kimya ila anatii kila ninalomuambia
Nachukua chumba kakaa kimya,tunaingia chumbani wote bila hata kipingamizi kakaa kimya
Ile kufunga mlango wa room tu,nikamrukia na denda kalipokea...kilichofuata apo ni mechi heavy kweli kweli
Baada ya round ya kwanza kumaliza,ndo tukakaa tunaangaliana usoni
eti ndo anaanza kuniuliza,hvi uku tumefikaje fikaje? nikamwambia hata mie sijui...tukaishia wote kuchekaaaa tuuuu
Nilipiga round ya pili,tukala msosi nikamalizia cha mwisho,tangu siku iyo nikimuomba mzigo ananiambia sitaki
Jana kaniambia yaaan wewe ukitaka nikupe tena ni bora usiniombe,ikitokea bahati tukakutana tena kama siku ile we nipeleke tu lorge unikule mpaka utakapotosheka
daaaah...sasa wakuu sijui ndo kimasihara hii, au ni pepo tu lilitupitia.