Ulishawahi kula tunda kimasihara?

kuna manzi nilikua nakaaa nae nyumba moja miaka kama 6 iliyopita.

alikua ni pini kweli kiukweli nilikua namtamani jinsi ya kumuingia ulikua mtihani....ofcourse tulikua watu wa kusalimiana basi kila mtu na mishe zake...kulikua kuna group la WhatsApp wapangaji wote tulikua mule...nakumbuka kulikua na kikao cha wapangaji siku moja nikatoa udhuru kwenye group kwamba sitaweza kufika naumwa....

yule demu akanifuata inbox kwamba naumwa nn..nikamjibu naona aibu hata kukuambia naumwa ugonjwa ambao hata kuuelezea mtihani akanifosi sana nimwambie(kiukweli sikua naumwa kitu nilikua nazngua tu).
.

ikabd nimwambie nna mwezi uume wangu hausimami hata nifanyaje(nilitunga ugonjwa ili kumzngua) demu akaenda hewani ile napokea nikawa kama nalia...nalalamika sijui nimekumbwa na nini bla bla kibao demu akawa ananionea huruma sana....akasema anatamani anisaidie ila hajui afanyaje akanishauri hospital nikamwambia nimeenda sana lakini hakuna mafanikio....

Story story pale akasema akitoka job atakuja kunichek kwangu heeeee ushetani ukanivamia rasmi nikawa nawaza jinsi ya kumkula...kweli alivyotoka job akaja mpaka gheto.kwangu ilikua usiku kama saa2...ndugu nilijifunika blanketi natetemeka uongo uongo mixer machoz.......daaaah nguvu ya papuchi ni kubwa

basi alinionea sana huruma sana akasema hana jinsi ya kufanya...nikamuomba kitu na yy akakubali kitu bila kujiuliza mara mbili...nikamwambia naomba uishike huenda leo itajitahd kufuction..basi akachukua mkono wake wa kulia akawa anagusa gusa bwana mnaraa huooo kama umeme umerudi....alishtuka na mimi nikajifanya kustuka na kufurahi sana...nikamuomba aendelee kushika huku na yy namshika basi picha linaisha akaliwa kimasihara na mimi mgonjwa...

baada ya kumaliza anauliza ulikua serious au ulikua na mbinu zako huku nalia nikamwambia mama milikua serious na ww ndio umeniokoa..
..sijui kama aliamini

ila picha liliisha hivyo.....

NADHANI HAYA NI MASIHARA

AU NYIE MNASEMAJE NDUGU ZANGU
Hukuoa huyo manzi???
 
2018 kipindi cha kombe la dunia,kuna siku nimefanya pilika zangu nikaenda gheto kupika ili niwahi kucheki game ya ufaransa bhn,nimemaliza kuandaa msosi nikaenda jogging kidogo mida kama saa 12 hv ,narudi mida ya saa 2 kasoro hv kuna mtaa nakatiza nakuta naitwa oyaaa flani,kugeuka nakutana na binti wa kitaa ni mwanafunzi wa 4m 4 yupo likizo,nakuta kanimind eti wakati napita aliniita alitaka na yeye aend jogging kidogo mie nikabaki nashangaa 2
Basi tukaanza kupiga story tunaelekea njia inayoelekea ghetto kwangu,ile nakaribia gheto nasikia harufu ya nyama inaungulia gheto kumbe wakati naondoka niliacha mboga kwny moto nikapunguza moto kumbe makadilio yangu yalikwenda vibaya,so nikaamaki pale ikabidi niende ndani fasta kuipua mboga mtoto kabaki nje anacheka ile mbaya
So mtoto akaanza kuniulizia unafnyaje sasa nikamwambie hakuna shida nitakaporudi kutoka kucheki game nitafanya utaratibu wa kuchukua mboga nyingine,nikachukua maji nikaenda kuoga
Ili nikacheki game chap
Ile narudi kutoka bafuni nikamkuta bado yupo pale nje amekaa,nikaanza kuwaza huyu mtoto kulikoni lakin jamn? hapo wazo la kishetani likanijia rasmi kwenye ubongo wangu aiseee,so nikamwambia karibu ndani akaanza kubisha mara Ohoo we si unaenda kweny mpira? nikamwambia njoo rule basi? anauliza tunakula bila mboga? nikamwambia tunatenga chai fasta 2,ohooo nikakuta mtoto kachoma ndani
Nikaandaa chai pale,nikapakua msosi tukaanza kula nikaanza kumdodosa vimaswali vya hapa na pale like nyumbani upo na nani?nikaambiwa 2po na dada ila yeye ni nurse kaenda kazini night,ko sahizi upo peke yako ? akajibu ndio,baada ya hapo nikajua game ya ufaransa naicheza mwenyew humu ndani aisee
Tumemaliza kula katoto kananiuliza uko kwenye mpira unarudi saa ngp?nikamwambia kwanza nimeghaili nitasikilizia e bony fm cz walikuwa wanarusha yale mashindano,nikaenda kubadilisha station nikakuta tayar mechi imeanza kutangazwa nikamwambia si inasikia?
Baada ya kama nusu saa hv mzee najiandaa kuingiza dushe kw mtot anaanza kuniambia"baby samahani mie sio bikra" hapo moyoni najisemea mie sio jokajeusi natafuta bikra wa kuoa(just joke)
Mtoto alilala gheto na sikuuza mechi kwa kweli cz nilikuwa najua ni student,na shoo ilikuwa y kibabe cz kun mda alikuwa anahisi mie ni msukuma sio kwa pigo zile
Khaaaa huyu mtoto bila shaka alienda form five.

Alafu naamini ilikuwa game ya france vs argentina
 
Blaza Eli79 wewe enzi za u boyhood yalikupitaia wapi??
 
Ngoja tuendeleze uziii ..........

Back in days tupo katika chuo pendwa pande fulani mjini Dar , ulikuwa msimu fulani mvua inapiga vibaya mno sasa mbishi nilikuwa naishi bibo , naangalia muda , simu yangu inaniambia ni saa nane na nusu mchana afu saa kumi ninakipindi Yombo 5 , mbishi fasta nikaoga vaa kishikaji tuu huyoo ndani ya shato ( hizi ni gari aina ya coaster zinapiga root mabibo hostel - chuo main campus ) huko nje mvua kama kawa inafanya yake mbishi sina mwamvuli wala nini , kila kitu kitaafaamika mbele kwa mbele .

Pap watu utawala wakashuka , Darajani (kituo kilichokuwa kinafuata baada ya utawala ) , hapa tukashuka kundi la watu remember mvua inanyesha haijaacha hata kidogo, fasta namuona sister duu mrembo kafungua mwamvuli huyo taratibu anaelekea uelekeo nao elekea bila kuvunga nikaomba lift ( huu mchezo maarufu sana yale maeneo hasa kipindi cha mvua ) bila hiyana mrembo akaniruhusu nimsogelee ili tujifunike wote basi bwana asikwambie mtu mtoto alikuwa mzuri ananukia vibaya mno na kanoga achaaa , basi

Mbishi : mambo vipi ?
Mrembo : poa
Mbishi : unaitwa nani ?, ( in this case lets call her kimnana )
Mrembo : kimnana
Mbishi : umependeza
mrembo : asante
Mbisha : unasoma course gani ?
Mrembo : B .com in Accounting, weww unasoma couse gani ?
Mbishi ; bila kupepesa macho BA in Economics , wakuu hapa nilidanganya maana course niliyokuwa nasoma ni B .A Education lkn kama ningemwambia ukweli niliaminika kabisa asingekuwa interested na mimi kabisaa of course yes , i had to lie to her . waliopita yale maeneo wanaelewa jinsi ilivyokazi kwa mwalimu kumnasa mtoto wa UDBS

Basi baadaya ya hapo story mbili tatu tushafika yombo 4 ( hii ni lecture room ) basi mimi natakiwa niingie yombo 5 , palepale bila kulemba nikaomba namba mtoto bila hiyana kanipa , fyaaaa fasta nikapotea

Hii ilikuwa siku ya alhamisi , usiku nikamtext mrembo na kujitambulisha tena mtoto akaonekana kafurahi sana kuiona text yangu , basi siku ikapita then ijumaa jioni hii hapa , kama kamaida nikamcheki tena story mbili tatu mtoto full kujifanya wakishua na mimi bila kukosea full kuigiza vingereza kaaa vyotee . mwisho nika muuliza, j mosi atarudi nyumbani? akaniambia yeye yupo tu lkn mara nyingi huwa anakuwa very bored weekend maana huwa hana sehemu za kwenda ukizingatia yeye mgeni hapa jijini , pale pale nikamuliza vipi nawaeza nikakuchukua tukatembee beach kidogo ? , mtoto wowwwww beach ? I like going there , i cnt wait to go their with you .

Moyoni nikajisemea mungu wangu mi mwenyewe mgeni hata njia ya kunifikisha huko nshaisahau maskini ya mungu coz nilienda kitambo nikiwa mwaka wa kwanza , ila nikajikaza nisimuoneshe kuwa hata mimi wale wale , nikajibu alright let me take you there tomorrow , atleast we can refrest just a little bit, you dont wanna stay here in this hostel alone the whole weekend , right ?. bila kupoteza muda nikampigia simu mshikaji wangu fulani yeye ni mtoto wa mjini jiji lote lake sehemu gani uizungumzie asiijue ? Fasta akanielekeza gari za kupanda mbaka kituo cha kushukia , basi kutoka kwenye kituo mbaka coco beach pale haikuwa tabu sana maana ningeweza kupakumbuka tu vzr

Basi weekend ikafika mtoto kweli kajitupia anapendaza , mbishi kama kawaida licha kuwa ni teacher ( hapo mtoto hajui kumbuka hilo ) lkn aahhhh si haba na mimi nilikuwa nikiamua unaweza hisi mnyama jux kibongo bongo au mnyama fabulous pale kwa biden mbishi nikaongeza na kilinda mfuko kidogo ili nisije tia aibu na hivi loan board waliniwezesha basi nilikuwa mtamu asikwambie mtu , full kuvimba utaniambia nini bwana ? basi bwana hao mbaka macho hatua kadhaaa bahari ile pale tushatimba coco beach watu kaa wote , japokuwa na mimi nilikuwa mshamba fulani lakini niligundua kuwa mwenzangu alikuwa amenipita maana baadaya kufika pale hata kuingia tu kidogo kwenye maji alikuwa anaogopa , alipo jaribu kidogo kuingia wimbi lilipokuwa linakuja alitimua mbio bila kujali kuwa watu wanamuona . basi tulizunguka huku na kule chukua picha za hapa na pale( ingawa nyingi zilitoka kaa zimeungua hivi , sijui pana nini pale ) mbaka mida kaa ya saa kumi na moja na nusu hivi tulipokubaliana turudi sasa .

Kasheshe likaja bwana tulipofika pale kituoni ilituchukue daladala turudi zetu mabibo hostel , watu walikuwa wamejaaa pale vibaya mno gari ni za kugombania, kama msuli wako mdogo kupata gari hutoweza lakini pia kumbuka hapo mwanzo tulisha jifanya wakishua mimi na yeye hivyo ni wazi kabisa ile karaha tukajifanya hatuwezi kugombania gari , sasa tunafanyaje ? pale pale akili ya fasta ikaja , nikamwambia kwanini tusilale zetu tu huku huku ukizingatia kesho ni J. Pili Hakuna shule , mwanzoni mtoto akajifanya anapinga pinga ila kadri muda ulivyosogea na matumaini ya kupata gari kupotea akakubali tutafute sehemu nzuri tutulie , moyoni nikasema yapu point 3,muhimu nishazichukua .

Fasta fasta tukapata lodge fln hivi , hapo hatujala Nikamuuliza nikuletee nnn kama kawaida yao chipsi mayai , mbishi huyoo nikafika sehemu naona kuna mama ntilie pale basi nakaagiza ugali maharage wa buku plus mbga za majani za hapa na pale nikajishindilia vzr then nikamfungia chipsi mayai plus soda huyo nikarudi hapo ishafika saa tatu usiku kala kamaliza .

Ananza kuniletea mambo yake , you know i'm not your girlfriend so we can not sleep together , beside i have someone , hapo hata viingereza vyake sivielewi tena ila mimi nimetulia nampigia hesabu nifanyaje ili niweze kumrumbua huyu usiku huu. Basi nikajifanya na mimi gentleman sina time naye wale sishtuki na alichosema nipo bize nachezea simu nikamwambia usiwe na wasiwasi hakuna chochote kitakachotokea usiku huu . mara huyo kapunguza baadhi ya nguo kabaki na sidilia then chini tight tu taa wala hajazima ( ana leta uzungu kasahau around blacks never relax ) , moyoni nikasema huyu ananijaribu subili, mbishi wala sionishi kushtuka kaja kalala na mimi nikajifanya kulala lakini moyoni nawaza naliazisha vipi hapa , kitu alichojichanganya tumelala hivi kaniachia msabwanda wote nagusa haaa !! wala hanizuiii nikaanz nikamchezea weee tambaza mikono mwili mzima kaa chatu naona mtu anahemu kwa tabu pitisha mkono kule kwa bibi naona tayari pamekuwa wetland , nikajua tu tayari nikasaula mtu ananiangalia tu mwisho wa siku nikajilia vyangu bila hata kutongoza . asubuhi ananiletea tena viingereza vyake , muda huu wala siku msikiliza nikarumbua tena morning glory mbili . then mikakati ya kurudi ikaanza

Baada ya hapo tukawa kaa wapenzi lakini tulikuja kuachana baada ya yeye kuujua ukweli kuhusu mimi , maana pale chuo walimu wote wanapofika mwaka wa pili lazima wasome somo moja hivi linaitwa C T200 ( media ) sasa hili somo ukisoma mwishoni lazima ubuni kitu kinaitwa teaching aid ( kwa ajili ya kufundishia wanafunzi ), teaching aid yko inaweza kuwa mlima kwa wale wa geography , etc sasa bwana ilikuwa ni siku ya kwenda kuzielezea teaching aid zetu mbele ya madoctor nipo na kundi langu tumebeba teaching aid kubwaaaa asikwambie mtu ili tupate marks nzuri kumbe bwana baby yupo juu ya ghorofa pale yombo 5( anasubili pindi ) ananiona navyo angaika na mzigo ule tumetokea pande za changanyikeni kule , na ule wakati pale chuoni ilikuwa ukimuona mtu yoyote anaangaika na yale madude basi moja kwa moja unajua huyu ni mwalimu,

Basi nisikia text imeingia kucheki baby , kufungua niisome nakumbana na swali , " khaaa kumbe wewe ni mwalimu ? " sikujibu haraka haraka nikasubilia nimalizane mambo ya kutafura,marks kwanza then jioni nikampigia ili nimpange na upya mtoto asije akapeperuka coz alisha amini mi napiga mauchumi pale , napiga simu mtoto hataki kupokea , wala mesegi zangu hajibu , jaribu kupiga tena olaaa tuma text whatsup nakuta nilishachezea block kitambo , nikijesemea potelea mbali na huo ndyo ukawa mwisho wetu.
Ct 200 alikuwa anafundisha dr koda??
Yule mwenye kitambi flani chakipekeee.....

Ahahaha mzzeee huyo manzi alikuwa kiazi sana
 
Mwaka 2009 walikuja wafanyakazi wapya ofisini kwetu, na wakawa ni department ambayo ni related na yetu.

Wawili kati ya hao walikuwa ni wasichana kutoka IFM, wakati wanafika ndo matokeo yetu ya CPA yalikuwa yametoka na majina ya waliopata kwa pale ofisini yakawa yametangazwa kwenye communication bulletin ya ofisi.

Sasa kati yao alikuwepo Vicky, huyu alikuja baadae kuchukuliwa na CEO.

Vicky na mwenzake wote tulikuwa floor moja, na kazi yetu inaenda kwao baada ya kutoka kwetu. Kila mmoja pale ofisini alikuwa anamshobokea sana yule mtoto ila mimi nikawa namchunia.

Siku moja kukaibuka mjadala wa nani demu mkali pale ofisini, wengi wakampa Vicky, mimi nikaulizwa nikajibu namwona wa kawaida, kwa nini? Nikawaambia nina demu mkali kumpita, nakawakumbusha ngoma ya AY, Ray C na Mwana FA siikumbuki jina FA aliweka msitari wa MC mkali lazima awe na demu mkali. Na mimi ndo niliongoza kwa pale ofisini, kuna somo pia niliongoza overall.

Taarifa zikamfikia Vicky, kwamba nimemponda, siku tuko lunch akaniomba nimpe madesa ya Financial Reporting, nikamwambia vipanga huwa hatutumii madesa, tunaingia class ticha anafundisha tunatoka yakiwa yamekaa kichwani.

Akasema basi nimfundishe topics kama 3 hivi, nikasema poa, ila muda sana ni weekend. Tukaanza darasa, tulikuwa tunasomea nyuma ya stend ya Mkoa kulikuwa na hostel za masters.

Sasa siku moja demu wangu akaja hapo kunisubiri ili tuondoke naye, Vicky kuthamanisha akakubali kwamba kweli anapitwa (hii aliniambia baada ya kupiga naye kazi ya kibaba na mama).

Weekend inayofata Vicky akasema aje asomee kwangu, nikasema poa. Nilikuwa nakaa nyumba ya vyumba vitatu Kimara Kona, chumba kimoja ilikuwa cha dogo akiwa likizo na kingine store.

Jumamosi Vicky kaja na cookies, tumesoma naona concentration yake siyo, akaenda kwenye friji akakuta Balantine, eti anauliza hii nini? Nikazuga zuga pale, mara akaniambia nimtafutie kitu cha kunywa, ndo kwenda kuleta soda na dompo.

Darasa likahamia kwenye kunywa, akaamua kupika kabisa ili tule, kipindi hicho demu wangu alikuwa anajitahidi vitu vya kupika lazima viwepo, ila mi nilikuwa sipiki labda ugali na mayai, then vyombo anakuja kuosha akija.

Vicky siku hiyo akaanza kuniuliza kama nampenda yule mtoto, nikamwambia sana. Nikaona kama ananuna, nikamshika nikaanza sifa za uongo na kweli, na kusifia chakula alichopika, mara tukaanza kukumbatiana, sikumbuki ilikuwaje ila nikajikuta tumefanya mchezo mbaya.

Baada ya kumaliza ndo akaanza kunichana kwamba najidai sana sijui nilimponda, nikamwambia nampenda sana ila pale ofisini kuna wazee nawaheshimu na wanamtaka, lazima nizuge zuge.

Noma sana haya mambo, siku moja tulijikuta yeye na mimi tumewahi ofisini, kuna mdingi saa 12 ilikuwa lazima awepo kufungua ofisi.

Vicky akaja kwenye chamber yetu kutafuta file, wakati ananyanyua mikono juu kulichukua, nikaona G-string, nikaivuta paap! Akageuka akanipa mate, mzee baba hali mbaya, huku mikono iko ikulu. Nyonya sana, nikamwambia aende washroom yao, nikamfata, chap mchezo ukaisha.

Nilikuja kuachana naye baada ya kujua CEO kajimilikisha, ila lile somo alifaulu pia.
Mods mue mnaufunga huu uzi. Siku za jumapili na muda wa kazi.

Majaribu haya
 
Ninazo Tatu naomba nianze na Moja..

Hiko hivi huyu ni classmate wangu tuliyesoma nae chuo kimoja huko mikoa ya kusini ila yeye alikuwa amekuja kusoma akitokea kazini na mtu mwenye familia yake ila ukikaona bado ni kabinti kapichi kanaonekana kutokana na umbo alilonalo japo ana mtoto mmoja.

Kula kimasihara kuna kujaje..

Ilikuwa ni mtu ambaye ameanzisha mazoea na mimi kupitia masomo pili kupitia kabiashara kangu kakuuza product za wadada nilizoanza kufanya nikiwa mwaka wa mwisho yeye alikuwa ni mteja wangu wa nguvu mara zote izo tulikuwa ni watu wa kuchart kawaida tu tena kwa status tu basi na tukionana nje na masomo tutaongea issue zingine za kawaida.

Bwana weeh...mara accidentaly akawa ni mtu anayependa kuniona muda mara visms vingi vingi kiuhalisia dalili nikagundua ndo zenyewe shida mke wa mtu sasa...

Sasa Mwaka jana bana Tulikuwa tunaenda Field makao makuu ya nchi sasa Hapa kwa nini binti (mke wa mtu asinigande)

Siku Moja Tukiwa Hostel Tuliyofikia wenzake wote aliokuwa nao waliondoka akabaki pekee ake na mimi pia nilikuwa nimetoka nipo kutembea nakuta sms kwenye simu yangu Uko wapi jamani mimi nipo pekee angu huku na baridi!? Nikamwambia nakuja !?

Nafika tu mke wa mtu anaanza kulia mara kuanza kunisimulia habari za mme wake anavyomcheat..ikabidi nianze kumbembeleza kwanini nisianze kumkumbatia eh mara tuanze kupiga mate kwa wingi kama dk kadhaa kusika chini kwa papuchu kumelowa balaa kwa usafi wa ile pisi ikabidi nianze kusafisha mtaro lamba sana naona mtu anakodoa macho tu na kulia huku akitaja jina langu yaani baada ya muda kadhaa ikabidi nianze kupiga miti ya kutosha piga sana nenda bao la kwanza kila mtu Hoi mtoto kalegea balaa..

Kufipisha stori ile Pisi mke wa mtu ilinisave sana chuo nikiwa sina Hali ...Japo mimi niliifaulisha ..

Asanteni
Huna huruma kabisaaa khaaa
 
SI YA KUSAHAU!

Katika weekend moja ya Dec 2020, napata mualiko kutoka kwa mchizi wangu sana akinitaka nifike maeneo ya MiCASA iliyopo karibu na Mabibo hostel, kwa ajili ya utambulisho wa shemeji yangu mpya.

Sikuona tabu kwa kuwa ni mwanangu sana tangu tupo O-level, hivyo ilipofika mishale ya saa 3 za usiku nikawa tayari nipo ndani ya jumba hilo la starehe.

Nikatambulishwa vizuri kwa shemeji yangu, mdau akanambia kuwa demu ni mwanachuo pale UDSM that’s why tumekuja karibu na maeneo yake kumuondoa wasiwasi. Nikasema sio mbaya, starehe zikaendelea kwa vinywaji, mziki n.k.

Kikawaida mimi sio mnywaji sana, just ni social drinker.. nikawa nakunywa ili kuweka kichwa sawa, nikaanza kutembeza LTE zangu kadhaa huku demu akiwa na vichupa vichache vya Savanna.
Mwanangu mimi ndio komba sasa, yaani alikunywa mpaka akawa tilalila!

Muda ulikuwa umeenda sana, ikabidi tufanye mazingira ya kwenda kupumzika. Bahati nzuri mdau wangu alikuja na gari, akaniomba nimpeleke mpaka kwenye dambwe la kupumzika yeye na manzi yake sababu asingeweza kuendesha na ile hali.

Tukafika mpaka kwenye lodge moja hivi maeneo ya Riverside, nikahakikisha wameingia ndani kisha nikamuaga mdau kuwa narudi mtaani kwangu. Jamaa ikabidi anizuie, akaniomba kwa ule usiku nichukue chumba pale pale nipumzike mpaka kesho then atanifikisha kitaa, maana kwa usiku lolote linaweza kutokea.

Ukawa ni ushauri mzuri kwangu, nikachukua room na wenzangu wakachukua ya kwao.

Baada ya kama nusu saa hivi, nasikia mlango ukigongwa. Nikahisi ni wahudumu wa mule ndani.
Nafungua mlango, nakutana na sura ya shemeji yangu..

Akaingia ndani haraka! Ikabidi nifunge mlango nimuulize “Imekuaje tena?”
Nilihisi huenda kuna tatizo limetokea, huenda mdau kashaanguka n.k.

Namuona demu karelax hana presha. Akanambia:
“Mbona rafiki yako kalala tena! Yuko fo fo fo, hatujafanya chochote mpaka muda huu!”

Yaani demu alikuwa tayari kajiandaa kwa show siku ile.

Nikakaa kimya kwa muda.. wakati demu akiwa anaketi kitandani. Ikabidi nimuulize:
“Kwahiyo tunafanyaje sasa?”

Demu hakusema kitu, akawa ananiangalia kwa jicho la wizi huku nikimuona kama anataka kuanza kupunguza nguo zake za mwilini.

Ghafla akasimama halafu akawa kama mtu aliebadili maamuzi. Akafungua mlango na kutoka nje!

Dah!! Nikaanza kujishangaa na kujiuliza, hivi namuachaje huyu kiumbe na kaingia mwenyewe machinjioni? Tamaa ilishaanza kuniingia, bila ya kujali kama ni demu wa mshkaji wangu.

Punde naona mlango ukifunguliwa tena, demu anarudi tena akiwa na handbag yake pamoja na baadhi ya nguo alizoshika mkononi.
Nikawaza tu kwamba hii ni rasmi sasa, kaja kuweka kambi kwenye room yangu.

Baada ya kutua mizigo yake akapanda kitandani.. kiukweli wakati huo sikujiuliza mara mbili..

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Baada ya show, demu akapumzika kifuani huku akipitisha vidole vyake taratibu. Ukimya ukapita kwa muda, kisha story zikaanza ili kujuana vizuri.

Usingizi ukanipitia, nakuja kushtuka asubuhi. Naangalia pembeni demu hayupo.
Nakuta ujumbe kwenye karatasi chini ya simu yangu ukisema:

“TELL HIM NOTHING. Call if you want 06********”

Nikaelewa kwanini alihamia na nguo zake usiku ule. Alitaka iwe rahisi kwake akiwa anaondoka asubuhi. Pia hakutaka mchizi wangu ajue chochote kuhusu kilichotokea!

Nikaenda kumgongea jamaa, akatoka, ndo ananieleza kuwa amelala usingizi mzito mno, na hajakumbuka chochote mpaka asubuhi na anaamka demu hayupo. Lakini hakuna kilichochukuliwa!
Mimi nikawa najifanya kushangaa tu, kama sijui kilichotokea.

Ngoja nikatishe story..

Ila baadae nilimcheki, tukaendelea kuwasiliana. Nikaja kurudia show nyengine siku ya Boxing Day na mpaka sasa tunaendelea na mahusiano!

KAMA UTANI HIVI..
Ndio maana siamini rafiki...dah!!!
 
Ebwanaee,,,

Mwaka jana mwezi wa 9 alihamia demu hapa jirani ninapokaa,Huyu demu alikuwa kahamishiwa kikazi tu,Hivo akawa amepanga nyumba hapa jirani na ninapokaa,Demu alikuwa mkali kinoma,yani kama kajala, sema yeye hakuwa na mwili mkubwa kama ule,Demu chocolate color flani,alafu nyuma ndo usiseme.

Sasa kilicho kuja kunivunja moyo kwa huyu Demu ni kuwa alikuwa na jamaa yake alafu good life kinoma,kila jioni unamuona jamaa huyu hapa na prado yake alafu ukizingatia mimi hata bike sina,Kila jioni nikawa namshuhudia jamaa anakuja na ndinga yake anaingia ndani kwa yule demu alafu anatoka saa 2 Usiku,nikajisemea huyu jamaa atakuwa na mke ila huyu demu ni mchepuko wake.

Kadri siku zilivyo kuwa zina zidi kusonga ndo huyu demu akazidi kuwa mzuri kinoma,yani nikawa namtamani ila sasa fala nitaanzia wapi hasa ukizingatia jamaa yake ana kila kitu,Basi nikawa najisemea kimoyo moyo "Haya ni maisha tu",,Si unajua sisi makapuku tunavyo penda kujitia moyo,

Basi bwana,mimi nikaendelea na mambo ya gym labda huenda ipo siku atavutiwa na mimi kwa body mana kama ni hela sina,

Mara huyu demu nikamuona tayari ana gari Toyota wishi,pale pale mawazo ya kumpata huyu demu yakanitoka na nikawa nimeamua kumpotezea,Huyu demu hapa kitaa alikuwa hana mazoea na mtu,Basi watu wote wakawa wana msema anadharau.

Mimi nikaendelea na ajira yangu niliyo kuwa nimeipata nikaachana na kumuwazia huyu Demu,ila kila nikimwona jamaa yake akija roho inaniuma nikawa natamani nivizie wakiwa ndani nikapasue pasue prado yake,haya mapenzi nyie acheni tu.

Basi bwana,,,Wahenga walisha sema ridhiki haipotei,

Siku moja nimekaa zangu kibarazani jioni baada ya kutoka job,huku najiandaa kuingia gym nikamuona huyu dada anakuja kwangu,Daah mhuni nikatamani kukimbia nikijua huu utakuwa uchawi,Ila nikajisemea,potelea mbali uchawi huwa hauji kwa mentali.

Demu mpaka akafika pale tukasalimiana na akawa amekaa,tukapiga stori mbili tatu ikiwa ni pamoja na kuniulizia mambo yanayo husu mtaa wetu,ndo nikagundua kumbe demu mwenyewe yuko peace tu,mcheshi na anapenda stori kinoma,Baada kama ya nusu saa akaniaga kuwa anaenda kupika cha usiku,tukaagana akasepa na mimi nikasepa zangu gym.

Wiki yote hiyo kila akitoka job akawa lazima aje kwangu tupige stori ndo aende kwake,Mara akawa ananiambia nisipike atapika yeye,ikaenda hivo mpaka mwezi mzima tukawa tumeshakuwa washikaji kinoma,yani weekend tunapika wote na kupakua ila yeye akawa anataka kumjua girlfriend wangu,Na mimi baada ya kuzoeana na huyu demu sikutaka tena mazoea na mademu wengine mana wangeniharibia,sasa nikiwa ninataka kuwa na demu nampeleka kwingine tofauti na hapa kwangu.

Huyu demu akawa muda mwingi ni kuvizia simu yangu ili aone kama nina mwanamke,yani akawa ni mtu wa kunifuatilia sana,nikawa najisemea "siku yako ina wadia kuliwa na mhuni".

Ikumbukwe licha ya hayo mazoea lakini jamaa yake alikuwa anaendelea kuja tu wana enjoy mle ndani,nikawa naumia tu sasa nitafanyeje,na jamaa nae tukawa tumezoeana kila akija lazima aje kunipa hai na stori mbili tatu then anasepa zake.

Siku moja mhuni niko zangu bafuni nikasikia kama kuna mtu kaingia sebuleni,ile nachungulia nikamwona demu kashika simu yangu ndo anataka kupekua pekua,daah nikasema simu sawa ina password lakini hizi tecno text ikiingia lzm iwe pale juu ya scrin,na niliingia bafuni nikiwa nachat na mademu wawili hivo nikasema wataniharibia,pale pale nikajifunga taulo nikatoka nduki kumpokonya simu,akawa anakimbia,tukaanza kukimbizana ndani kama wapenzi,mara nikamdaka nikamuweka mbele yangu,mara simu kaibana mapajani kwake,hapo ukumbuke tako lote liko mbele ya mashine yangu na nimevaa taulo tu na yeye kavaa kanga na kisinglend chepesi,Kila nikitaka kumpokonya simu anaishusha,na hapo wazo la simu likaanza kupotea kichwani mwangu,nikachungulia huku na kule nikaona potelea mbali,nikaanza kumtomasa maziwa,tumbo,,mara nikaona katulia tu,,mara akanambia,shika simu yako uniache mimi niende,Sikumjibu nikaendelea kumshambulia mara akanipa simu mwenyewe huku katulia,nikaipokea nikaiweka mezani,nikaendelea kumshika,mara ooh niache mi sitaki,,,,Nikamvua khanga tupa kule nikakutana chupi nyekundu imekamata zigo fresh huku mashine imeshakasirika vibaya mno inamgusa makalio,,nikamtoa kisinglend chapuu,,akabaki na chupi tu,nikaenda nikafunga mlango fasta,nikarud nikampeleka chumbani,nikamtupia kitandani fasta huku demu jicho nyanya kalegea kama mlenda ulio tiwa karanga,nikaona haina haja ya kumvua chupi huyu,nikaisogeza pembeni nikazamisha mtarimbo,piga show,,piga show,,Saa tano usiku ndo tukamaliza mtanange, nilijipigia vyangu viwili fresh,Saa tano hiyo demu akasepa kwake.

Zilipita kama siku tatu bila mwenzie kumuongelesha,siku ya 4 Nikiwa job nikaona text "Mambo jay,Leo tule nini"? Nikamjibu tule ndizi nyama,siku hiyo hiyo ndo tukapiga show ya kufa mtu mpaka nikalala kwake,

Mahusiano yetu yalienda hivo mpaka demu alivyo olewa na huyu jamaa yake mwezi 12,Ila mwezi huu wakwanza 10 nilimla fresh tu.

Ni hayo tu.
 
Ngoja tuendeleze uziii ..........

Back in days tupo katika chuo pendwa pande fulani mjini Dar , ulikuwa msimu fulani mvua inapiga vibaya mno sasa mbishi nilikuwa naishi bibo , naangalia muda , simu yangu inaniambia ni saa nane na nusu mchana afu saa kumi ninakipindi Yombo 5 , mbishi fasta nikaoga vaa kishikaji tuu huyoo ndani ya shato ( hizi ni gari aina ya coaster zinapiga root mabibo hostel - chuo main campus ) huko nje mvua kama kawa inafanya yake mbishi sina mwamvuli wala nini , kila kitu kitaafaamika mbele kwa mbele .

Pap watu utawala wakashuka , Darajani (kituo kilichokuwa kinafuata baada ya utawala ) , hapa tukashuka kundi la watu remember mvua inanyesha haijaacha hata kidogo, fasta namuona sister duu mrembo kafungua mwamvuli huyo taratibu anaelekea uelekeo nao elekea bila kuvunga nikaomba lift ( huu mchezo maarufu sana yale maeneo hasa kipindi cha mvua ) bila hiyana mrembo akaniruhusu nimsogelee ili tujifunike wote basi bwana asikwambie mtu mtoto alikuwa mzuri ananukia vibaya mno na kanoga achaaa , basi

Mbishi : mambo vipi ?
Mrembo : poa
Mbishi : unaitwa nani ?, ( in this case lets call her kimnana )
Mrembo : kimnana
Mbishi : umependeza
mrembo : asante
Mbisha : unasoma course gani ?
Mrembo : B .com in Accounting, weww unasoma couse gani ?
Mbishi ; bila kupepesa macho BA in Economics , wakuu hapa nilidanganya maana course niliyokuwa nasoma ni B .A Education lkn kama ningemwambia ukweli niliaminika kabisa asingekuwa interested na mimi kabisaa of course yes , i had to lie to her . waliopita yale maeneo wanaelewa jinsi ilivyokazi kwa mwalimu kumnasa mtoto wa UDBS

Basi baadaya ya hapo story mbili tatu tushafika yombo 4 ( hii ni lecture room ) basi mimi natakiwa niingie yombo 5 , palepale bila kulemba nikaomba namba mtoto bila hiyana kanipa , fyaaaa fasta nikapotea

Hii ilikuwa siku ya alhamisi , usiku nikamtext mrembo na kujitambulisha tena mtoto akaonekana kafurahi sana kuiona text yangu , basi siku ikapita then ijumaa jioni hii hapa , kama kamaida nikamcheki tena story mbili tatu mtoto full kujifanya wakishua na mimi bila kukosea full kuigiza vingereza kaaa vyotee . mwisho nika muuliza, j mosi atarudi nyumbani? akaniambia yeye yupo tu lkn mara nyingi huwa anakuwa very bored weekend maana huwa hana sehemu za kwenda ukizingatia yeye mgeni hapa jijini , pale pale nikamuliza vipi nawaeza nikakuchukua tukatembee beach kidogo ? , mtoto wowwwww beach ? I like going there , i cnt wait to go their with you .

Moyoni nikajisemea mungu wangu mi mwenyewe mgeni hata njia ya kunifikisha huko nshaisahau maskini ya mungu coz nilienda kitambo nikiwa mwaka wa kwanza , ila nikajikaza nisimuoneshe kuwa hata mimi wale wale , nikajibu alright let me take you there tomorrow , atleast we can refrest just a little bit, you dont wanna stay here in this hostel alone the whole weekend , right ?. bila kupoteza muda nikampigia simu mshikaji wangu fulani yeye ni mtoto wa mjini jiji lote lake sehemu gani uizungumzie asiijue ? Fasta akanielekeza gari za kupanda mbaka kituo cha kushukia , basi kutoka kwenye kituo mbaka coco beach pale haikuwa tabu sana maana ningeweza kupakumbuka tu vzr

Basi weekend ikafika mtoto kweli kajitupia anapendaza , mbishi kama kawaida licha kuwa ni teacher ( hapo mtoto hajui kumbuka hilo ) lkn aahhhh si haba na mimi nilikuwa nikiamua unaweza hisi mnyama jux kibongo bongo au mnyama fabulous pale kwa biden mbishi nikaongeza na kilinda mfuko kidogo ili nisije tia aibu na hivi loan board waliniwezesha basi nilikuwa mtamu asikwambie mtu , full kuvimba utaniambia nini bwana ? basi bwana hao mbaka macho hatua kadhaaa bahari ile pale tushatimba coco beach watu kaa wote , japokuwa na mimi nilikuwa mshamba fulani lakini niligundua kuwa mwenzangu alikuwa amenipita maana baadaya kufika pale hata kuingia tu kidogo kwenye maji alikuwa anaogopa , alipo jaribu kidogo kuingia wimbi lilipokuwa linakuja alitimua mbio bila kujali kuwa watu wanamuona . basi tulizunguka huku na kule chukua picha za hapa na pale( ingawa nyingi zilitoka kaa zimeungua hivi , sijui pana nini pale ) mbaka mida kaa ya saa kumi na moja na nusu hivi tulipokubaliana turudi sasa .

Kasheshe likaja bwana tulipofika pale kituoni ilituchukue daladala turudi zetu mabibo hostel , watu walikuwa wamejaaa pale vibaya mno gari ni za kugombania, kama msuli wako mdogo kupata gari hutoweza lakini pia kumbuka hapo mwanzo tulisha jifanya wakishua mimi na yeye hivyo ni wazi kabisa ile karaha tukajifanya hatuwezi kugombania gari , sasa tunafanyaje ? pale pale akili ya fasta ikaja , nikamwambia kwanini tusilale zetu tu huku huku ukizingatia kesho ni J. Pili Hakuna shule , mwanzoni mtoto akajifanya anapinga pinga ila kadri muda ulivyosogea na matumaini ya kupata gari kupotea akakubali tutafute sehemu nzuri tutulie , moyoni nikasema yapu point 3,muhimu nishazichukua .

Fasta fasta tukapata lodge fln hivi , hapo hatujala Nikamuuliza nikuletee nnn kama kawaida yao chipsi mayai , mbishi huyoo nikafika sehemu naona kuna mama ntilie pale basi nakaagiza ugali maharage wa buku plus mbga za majani za hapa na pale nikajishindilia vzr then nikamfungia chipsi mayai plus soda huyo nikarudi hapo ishafika saa tatu usiku kala kamaliza .

Ananza kuniletea mambo yake , you know i'm not your girlfriend so we can not sleep together , beside i have someone , hapo hata viingereza vyake sivielewi tena ila mimi nimetulia nampigia hesabu nifanyaje ili niweze kumrumbua huyu usiku huu. Basi nikajifanya na mimi gentleman sina time naye wale sishtuki na alichosema nipo bize nachezea simu nikamwambia usiwe na wasiwasi hakuna chochote kitakachotokea usiku huu . mara huyo kapunguza baadhi ya nguo kabaki na sidilia then chini tight tu taa wala hajazima ( ana leta uzungu kasahau around blacks never relax ) , moyoni nikasema huyu ananijaribu subili, mbishi wala sionishi kushtuka kaja kalala na mimi nikajifanya kulala lakini moyoni nawaza naliazisha vipi hapa , kitu alichojichanganya tumelala hivi kaniachia msabwanda wote nagusa haaa !! wala hanizuiii nikaanz nikamchezea weee tambaza mikono mwili mzima kaa chatu naona mtu anahemu kwa tabu pitisha mkono kule kwa bibi naona tayari pamekuwa wetland , nikajua tu tayari nikasaula mtu ananiangalia tu mwisho wa siku nikajilia vyangu bila hata kutongoza . asubuhi ananiletea tena viingereza vyake , muda huu wala siku msikiliza nikarumbua tena morning glory mbili . then mikakati ya kurudi ikaanza

Baada ya hapo tukawa kaa wapenzi lakini tulikuja kuachana baada ya yeye kuujua ukweli kuhusu mimi , maana pale chuo walimu wote wanapofika mwaka wa pili lazima wasome somo moja hivi linaitwa C T200 ( media ) sasa hili somo ukisoma mwishoni lazima ubuni kitu kinaitwa teaching aid ( kwa ajili ya kufundishia wanafunzi ), teaching aid yko inaweza kuwa mlima kwa wale wa geography , etc sasa bwana ilikuwa ni siku ya kwenda kuzielezea teaching aid zetu mbele ya madoctor nipo na kundi langu tumebeba teaching aid kubwaaaa asikwambie mtu ili tupate marks nzuri kumbe bwana baby yupo juu ya ghorofa pale yombo 5( anasubili pindi ) ananiona navyo angaika na mzigo ule tumetokea pande za changanyikeni kule , na ule wakati pale chuoni ilikuwa ukimuona mtu yoyote anaangaika na yale madude basi moja kwa moja unajua huyu ni mwalimu,

Basi nisikia text imeingia kucheki baby , kufungua niisome nakumbana na swali , " khaaa kumbe wewe ni mwalimu ? " sikujibu haraka haraka nikasubilia nimalizane mambo ya kutafura,marks kwanza then jioni nikampigia ili nimpange na upya mtoto asije akapeperuka coz alisha amini mi napiga mauchumi pale , napiga simu mtoto hataki kupokea , wala mesegi zangu hajibu , jaribu kupiga tena olaaa tuma text whatsup nakuta nilishachezea block kitambo , nikijesemea potelea mbali na huo ndyo ukawa mwisho wetu.
Hahahahahahahaha wewe ni egend
 
Mkuu unataka tuanze kushuka ushuhuda wa nguvu za kiume?

Kuna dada nilimpata humuhumu, nikakaa naye kwa mapenzi ya kwenye simu kwa mwaka mmoja, siku tumekuja kukutana nilimchapa bao 17.!! Ndio, sijakosea. Bao KUMI NA SABA kwa SIKU 2 na nusu maana nilimuandalia tour kabisa. Bao ambalo lilichukua muda mfupi sana nahis dakika 15 au 20. Tena ni lile la kwanza siku nafika kwenye wilaya ya makazi ya kudumu ya Mkuu wa nchi. Sikuwahi kutumia dawa ama vitu vyovyote vya vichocheo, ni nguvu asili nilizonazo tu.

Idadi hii sikuijua mimi, kumbe yeye alikuwa anahesabu, baada ya siku kadhaa wakati tunarejelea matukio ya nyuma akasema niliweka rekodi kwenye maisha yake kuwahi kukutana na mtu mwenye nguvu.

Kipindi hicho nina ugwadu wa kutosha kama mwaka mzima na sehemu bila papuchi. Ilikuwa moto, sitasahau maisha yangu yote hadi natoka hapa.

Nami sijawahi kukutana na mtu mwenye kuhimili mikikimikiki kama huyu dada asee, maana hata mke wangu akizidi sana viwili. (ila siku ya kwanza tunakutana nilimchapa vitano usiku mmoja - naye huwa hasahau eti. Sema huwa sisemi kuna mtu alikula 10+ huko nyuma. ).

Ni muda wa kulea familia na kutafuta vihela, Sina mpango wa kumsaliti mke wangu. Nishazoea kimoja au viwili mara tatu kwa wiki kwa ajili ya afya.

Samahan sana Darling kama utapita na kusoma hapa, huyu mtu kanichokoza kuhusu nguvu za kiume nikaamua kusema.
Mimi ilikuwa mwisho bao 6....popote ulipo Mwanaidi....Salamaleko!!!!
 
Similar Discussions

275 Reactions
Reply
Back
Top Bottom