Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Mtaani kwetu, jumamosi majira ya saa 11 alfajiri naitwa kupitia dirishani na mmoja wa wapangaji wenzangu.
Nauliza tatizo, ananiambia ndugu zake wanasafiri lakini dereva bajaji waliyekubaliana awapeleke ubungo hapokei simu.
Naamua kumpigia bajaji ninayemtumia kwa safari za alfajiri na hatimaye anakuja.
Nasaidia kuweka mabegi yao na hatimaye wanaondoka.
Tunabaki nje na jirani, stori mbili tatu anasema yeye akiamka mapema huwa hawezi kurudi kulala tena.
Namwambia muda wa watu kupata "morning glory" huu. Anacheka huku anaelekea chumbani kwake.
Nami narudi chumbani kwangu huku na kupanda kitandani kumaliza usingizi wangu.
Dakika kadhaa dada anarudi na kufika dirishani kwangu huku akisema ndugu zake wamesahau kubeba chapati alizowaandalia. Nainuka kichovu kuelekea mlangoni, nafungua mlango. Dada hakuniuliza chochote, anavuka kizingiti cha mlango na kuingia ndani.
Kumsogeza kitandani, pandisha dera juu nikajilia vyangu.
unasimulia kwa pozi sanaaa daah
 
Mzee umekutana na mjanja
Huyo atakua hana papuchi, kuna watu wameumbwa wanawake+wanaume, kama ana homoni za kike wanakuwaga wazuri sana ila ndo hivo hawana papuchi, nawajua wengi na wamewaliza wanaume wengi. Mwanamme unakomaa kutongoza kumbe binti sio binti, sio Makosa yao, ndo walivyozaliwa, na kwa tamaduni zetu wanajificha sana wasijulikane
 
Mtaani kwetu, jumamosi majira ya saa 11 alfajiri naitwa kupitia dirishani na mmoja wa wapangaji wenzangu.
Nauliza tatizo, ananiambia ndugu zake wanasafiri lakini dereva bajaji waliyekubaliana awapeleke ubungo hapokei simu.
Naamua kumpigia bajaji ninayemtumia kwa safari za alfajiri na hatimaye anakuja.
Nasaidia kuweka mabegi yao na hatimaye wanaondoka.
Tunabaki nje na jirani, stori mbili tatu anasema yeye akiamka mapema huwa hawezi kurudi kulala tena.
Namwambia muda wa watu kupata "morning glory" huu. Anacheka huku anaelekea chumbani kwake.
Nami narudi chumbani kwangu huku na kupanda kitandani kumaliza usingizi wangu.
Dakika kadhaa dada anarudi na kufika dirishani kwangu huku akisema ndugu zake wamesahau kubeba chapati alizowaandalia. Nainuka kichovu kuelekea mlangoni, nafungua mlango. Dada hakuniuliza chochote, anavuka kizingiti cha mlango na kuingia ndani.
Kumsogeza kitandani, pandisha dera juu nikajilia vyangu.
Cheeers....

Ila watu....
 
Hakuna kichaka cha kujifichia, linapokuja suala la afya yangu binafsi hua nipo makini sana haijalishi nitaonekanaje mbele za watu au mtu fulani. Nina malengo makubwa kimaisha ambayo napambana kuyafikia, sitaki factor ndogo ndogo ambazo ninaweza kuziepuka zinikwamishe.

Issue ambayo ilinitisha zaidi hadi niache wazo la kutoka nae ni kitendo cha kusema anauza utamu wake na kwa jinsi alivyokua ana shawishi alikua anapata wanaume wengi, pili virusi vina tabia ya kujificha, unaweza kwenda kupima na mtu mara ya kwanza asionekane mgonjwa ndio maana hospitali kama umewahi kupima wanashauri urudi tena kurudia baada ya miezi mitatu.
Sawa ningeweza kutumia kondom kama ningetaka lakini kuna issue za romance, hata blow job inaweza kukuambukiza magonjwa.

Kifupi alikua nje ya rules zangu kwa watu wa forex kuna kitu wanaita invalid setup.

Halafu kua mwanaume kamili haimanishi kua kila demu wewe unafakamia, sometimes ina include when, how and why to do or not to do. Inaweza kua ina sound kama najitetea lakini hapana mkuu.
Sasa kama uko makini si ungempima ukajihakikishia usalama wa kula tunda?

Unapokuja na mawazo ya kutukatisha tamaa kula matunda kimasihara, unatukosea sana mjumbe
 
Kuna mke wa mtu(mpangaji mwenzetu),sikuwah kuwa na mazoea nae,siku hio jumamos akaniuliza "unakulaga birian"?nkamwambia ndio...bas bi mama akaniletea ki hotpot nkapiga menyu,baada ya mda akaja kuchukua vymbo kiutan nkamualika ndan kwel akazama akakuta series ya kikorea,akaduwaa anachek,muda si muda nkaona anajifunua funua nikajarib imo nkala mzigo.....baadae ananmbia amekaa miez 3 na mumewe hamgusi kila siku jamaa anasema kachoka!

Nina mpangaji mwenzangu alihamia hapa ninapoishi wife akiwa safarini. Nikiwa naelekea kazini siku ya jmosi moja akaniomba lift akiwa na mwanae wa kiume wakielekea town. Basi wakati wa kushuka nikamuomba namba yake coz alikuwa mashallah sio kawaida. Basi mchana tu wa siku ile akanitext kunishukuru kwa wema wangu. Tukawa tunaendelea na chatting za hapa na pale. Siku moja nimerudi job kwa kuchelewa akanicall na kuniambia ananiletea chakula na juice. Ukweli nilitamani sana aje kuniletea lakini moyoni nikawa nasita coz nilihofia siku wife akija kungundua siku moja hali itakuja kuwa mbaya. Basi tukakubaliana aje kunileta chakula ndani kwangu. Ghafla nikasikia mtu anagonga geti. Nilipotoka kumfungulia, HAMAD alikuwa mama watoto amerudi kutoka safari. Basi mipango yetu yote ikawa imevurugika usiku ule. Ukweli nilishapanga kumla tunda yule jirani yangu ile siku na wala sio chakula chake alichokipika. Bado tunapanga siku ya kukutana na kunipa zawadi yangu ya ushindi. Na kwa jinsi alivyoumbika, siwezi mwacha hata kidogo na nipo tayari kulaumiwa na ulimwengu mzima.
 
mkuu akiba iyo haiozi
 
Hakuna kichaka cha kujifichia, linapokuja suala la afya yangu binafsi hua nipo makini sana haijalishi nitaonekanaje mbele za watu au mtu fulani. Nina malengo makubwa kimaisha ambayo napambana kuyafikia, sitaki factor ndogo ndogo ambazo ninaweza kuziepuka zinikwamishe.

Issue ambayo ilinitisha zaidi hadi niache wazo la kutoka nae ni kitendo cha kusema anauza utamu wake na kwa jinsi alivyokua ana shawishi alikua anapata wanaume wengi, pili virusi vina tabia ya kujificha, unaweza kwenda kupima na mtu mara ya kwanza asionekane mgonjwa ndio maana hospitali kama umewahi kupima wanashauri urudi tena kurudia baada ya miezi mitatu.
Sawa ningeweza kutumia kondom kama ningetaka lakini kuna issue za romance, hata blow job inaweza kukuambukiza magonjwa.

Kifupi alikua nje ya rules zangu kwa watu wa forex kuna kitu wanaita invalid setup.

Halafu kua mwanaume kamili haimanishi kua kila demu wewe unafakamia, sometimes ina include when, how and why to do or not to do. Inaweza kua ina sound kama najitetea lakini hapana mkuu.
Sauti inatosha kbs umeongea kiustaharabu sana
 
Wakuu acha nisimulie kisanga hiki. Nliwahi kuleta uzi wa mwanamke nliyemla hadi miguu ikashindwa kuubeba mwili, nikawa kama natembea kama mgabe, sasa wadau tarehe 2/8/2020alikuja tena akitokea dar hadi mkoa ninaoishi. As you know toka dar hadi ninapoishi ni kama 1300km, alikuja kwa nauli yake. Basi bwana shoo zake huwa ni single day ila ukitoka hapo ni kama umesex na wanawake 2. Nikawa siku hiyo saa 10 nina safari tena ya kudrive 230km hivo nilianza naye saa 3 asubuhi hadi ngoma 8mchana asha pigwa amekojoa km mara 3 hivi. Ngoma 11:00 jioni nikawasha gari tayari kwa safari na saa 2 usiku nlikuwa nimemaliza safari ya 230km.
Ikumbukwe tunaishi mbalimbali hivo nlikuwa na mepenzi mwingine ambaye nipo naye huku ninapoishi kamba ya siku 2 naye nlimuwasha siku nzima.
Nliwahi kuleta uzi wa mwanafunzi mwenye k inayonuka ndo nlikuwa naenda kwenye mkoa alipo nlivomtaalifu nakuja naye akataka mgegedo nikamwambia isiwe tabu nitakupa. Basi nimefika hivi kesho yake nlikuwa na shughuli zangu. Naye siku ilofuata akala mkia kama nusu siku hivi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa nane. Nikawasha gari kurudi ninakofanyia kazi mida ya saa tisa na saa 12 nlikuwa nishamaliza safari.
Kufika hivi mpenzi wangu nliemwacha huku naye akaomba mzigo.

Asikwambie mtu, safari hii sijashindwa kutembea ila mwili wote unauma na nimepitiliza kuugua homa leo nlikuwa nataka nikapime maralia. But kesho mpenzi wangu lazima nimpe tamu yake
 
Huu mwandiko unatia mashaka sana. Especially sentensi ya mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom