kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,058
- 688
Hii thread hata ukikaa nusu saa tu unakuta utamu wa stori, huu uzi unaweza kukumalizia nguvu za kiume maana ukisoma kila uzi lazima Mnara usome 4G H+.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kafa! Pole.Mkuu akanyambasira
tulikua tunawasiliana sana kwa email,hata picha alinitumia kwa email,toka tumeachana simu alisha nipigia kama mara 8, lakini sikua na umakini hata wa kuiandika sehemu ,changamoto za simu unazijua kuna kipindi nilipoteza simu nikapoteza na mawasiliano cha ajabu hajawahi nipigia tena na kuhusu email namtumia sana lakini hajibu,hata last month nimetuma lakin hazijibiwi,kipindi tunatoka Rubondo nilimpeleka mpaka home sa najiuliza nini shida toka 2013 kwa nini asinambie najiuliza maswali mengi sana na kuna hali flani kama inaniumiza sana kimawazo
Na kuna yule alianza hadi kula Tigo za Wenzie yupo Mwanzoni huko.. nimemsahau jina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yeye alikuwa anazurura kutafuta mtu wa kumla kimasihara, akakupata wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi ukute nawewe story imekuvutia hadi ume dindisha kumbe ni mzee anatiririka jinsi alivyo mla mother kimasihara hahaah! huu uzi ni noma usipokuwa makini unaweza kupata radhi.Huu uzi ni wa kuheshimu sana na usione watu wanahadithia huku wamekula kimasihara ukajua ni watu wadogo..... kuna waheshimiwa pia wamemwagika stori humu...
Unaweza kukuta mtu ameweka stori huku alikula kimasihara huku huko 90+ akampa mtoto mimba na ww unakomenti... kumbe ww ndio ulizaliwa na aliyekula kimasihara ni mdingi wako....
Kwa taarifa yako hao unaowaona wakali ndio huliwa kimasihara zaidi maana hua kuwafata live tunaona kama hawatatuelewa na hapo huwekewa mitego wasioijua wanajikuta wako kwenye 18 zako wanaamua yaishe tu, pia ni waelewa sana,
Acha na mm leo nieleze mkasa wangu
2017 nilipopata ajira yangu ya kwanza nje dsm
nikafikia kwa bro wangu huko mkoani Singida
Kuna siku nilitoka mwenyewe tu kwenda pub kunywa bia nikakutana na bonge la pisi mrefu,mweupe ana tako dah aisee akili ikasimama nikasogea nimwombe kampan tukae wote akakataa nikarudi mezan kwangu nikaona isiwe kesi nikamuita muhudum nikampa msimbaz ampelekee heinken tatu kama anazokunywa dem akakataa ofa nikaona sio kesi,,,kuna mda akatoka nje kuongea na sim na mm nikaunga tela nje alivyomaliza tu mm huyu hapa nshafika mda namsubiri yy nikaanza kumuimbisha lakini wapi anakaza nikakata tamaa nikasepa zangu
basi ikawa naenda tu pale kile kiwanja maana huku mikoan sehem za bata chache sana so kukutana ni easy sana baadhi ya siku tunakutana lkn nikimpanga anazingua kinyama mpaka nikakubali kushindwa
Kuna siku nilikuwa na brother niliefikia kwake yy ameshaoa na ana watoto wakubwa tu but ana hela chafu...tukaenda nae pale akamuona dem akamuita akampanga akakubali (jamaa katika mji wale mataita na yy yumo kwa pesa) sikumwambia kitu kama nilikuwa namfukuziaga huyo dem
Kuanzia siku hio yule dem akawa shemeji yangu(mchepuko wa brother) so tukawa tunaenda nae sana viwanja ili kukwepa soo kwenye public ananitanguliza mm na yule dem ili yy asijulikane kama ndo anapiga maana ana familia so hata club mm ndo nacheza nae bro yy anagonga zake bia hana habari
kuna siku tulilewa sana bro akasema tumpite mchepuko wake kama kawa dem anaongea na bro huku ameniegemea siku hio nikasema potelea mbali nikapenyeza mkono kimya kimya nikamshika tako alitaka kushtuka but akatulia bro akageukia pembeni akawa anaongea na rafiki yake
dem akageukia kwangu nikaanza kumpanga namtania dah so bro anafaidi vyote hv huku namshika tako akawa anacheka tu hapo na yy keshalewa sana nikamwmabia niandikie namba yako fasta manz akaandika(dem hapo nyuma alishaninyima namba yake baada ya kuwa na bro nikasema sitaki namba yake nisije nikafanya ujinga nikaharibu undugu kisa demu)
alivyonipa tu nikajikausha bro baada ya mda bro akasema twende tumrudishe dem then anipeleke mm home yy arudi kwa wife
tukivyomshusha tu yule dem akarudisha na mm alivyosepa nikampandia hewani nikamwambia mm leo usingiz hautokuja kama vipi njoo kwangu dem akasema poah (alikuwa anapajua coz bro alikuwa anajulikana so hata kwenda guest kwake ilikuwa jau so akawa anamalizia kaz zake ghetto langu)
Ile kumsubir mashine imesimaama kama inakatka dem nimemwomba mda sana dah baada kuingia nikafunga milango hakukuwa hata ni story tukarukiana mate nikampeleka chumbani daah dem alikuwa mzuri yule mamaee sijaona nikasema leo hapa nauza mechi tu situmii ndomu
alinipa BJ matata sana kama nusu saa
nikaanza kupiga mashine ukichanganya na nyagi wazungu walikuwa wanachelewa kuja dem anakatika mpaka nahisi ataing'oa nikapiga kimoja tukahamia seblen kwenye sofa nataka nipige mbele akasema saa hv piga nyuma dem tako hilo nilivyopeleka tu
wazungu hao lile joto,,ikabda dem aniandae tena nipige la tatu atleast hili nilikaa mda kama la kwanza tukalala hoi
asubuhi tukaamka akaenda kuoga akaniita tuoge wote nikapige kingine bafuni(nyuma)
aisee ndo ukawa ndo mchezo japo nilijuta kwann niliuza mech tukaendelea kama mwez hv hapo niliapa sitokuja kupima tena maishani
but nilipata dem mkali nikaamua kutulia nilikuja kupima miezi kama 8 baada ya wife kuwa mjamzito ishu za klinik h
Yule dem alikuwa Mzuri,mtamu na fundi saa hv kaolewa ana watoto wawili mmewe amafaidi sana
Kesho ileteJamani bahati yenu mbaya leo nilikuwa naleta kisa jinsi nilivyomla boss kimasihara. Yaani ile nimemaliza tu ku type app imejifunga. Ni story ndefu kwa Leo siwezi rudua kuitype
God save us
Siku kadhaa za nyuma niliibiwa kiasi fulani cha pesa kikubwa tu, baada ya kuzitafuta bila mafanikio ikabidi nifikirie kwenda kwa mganga nione kama anaweza kunisaidia!
Basi bwana hayawi hayawi yakawa hatimaye,
Mara paap nikampata jamaa mmoja yeye anamfahamu mganga na akanihaidi kunipeleka. Tukakubaliana fresh, siku ya Jumatatu nikampitia jamaa mida kama ya saa nne asubuhi tukaanza safari kuelekea kwa mtaalamu.
Tukaenda nje ya jiji la Mwanza kuelekea Sengerema. Tukaenda mpaka tukafika eneo husika.
Kwa mganga tulikuta ni nyumba kubwa tu nzuri, inavutia na ina geti. Tukafungua geti tukachoma ndani.
Kuingia ndani tukamkuata mtoto mdogo tu wa kike nahisi alikuwa ni mtoto wa mtaalamu japo sikupata uhakika. Tukapiga hodi huku tukiwa ndani ya geti akatukaribisha tuingie sebuleni lakini aliyetukaribisha alikuwa ni mwanamke na sauti ilitokea chumbani.
Basi kama kawa tukaingia sebuleni tukaanza kumsubiri.
Mara paaap! akatoka ndani mwanamke mzuri nilimkadilia umri ni wastani wa 35 - 38. Yule mwanamke alikuwa mzuri body kali amepanda juu kinoma.
Alikuwa amevaa kitenge tu jamani ndani hamna kitu, halafu juu amevyaa kitambaa cheusi yaani kimefunika matiti tu na kimezunguka hadi mgongoni.
Tuakaanza kuongea nae pale, akaniambia niingie kwenye chumba kingine.
Kile chumba nilichoingia kilikuwa kitupu kabisa kuna mkeka tu pamoja na stuli ndogo na baadhi ya makorokoro yake
Tukaingia chumbani mimi nikakaa kwenye mkeka yeye akakaa kwenye stuli.
La haula alivyokaa kwenye stuli akawa ameshikilia ile khanga ameichomeka katikati ya mapaja yaani mapaja yote unayaangalia kifua chote.
Daaah! Mwanaume akili yote ikafyatuka mwili ukasisimka mzuka ukapanda.
Yeye amekomaa kuchanganya vidawa vyake mimi mshipa umeshanisimama sielewi chochote.
Basi akatengeneza vitu vyake akamaliza akanipa dawa nikamuachia hela pale; nilitaka nimguse paja kidogo nikaona ngoja nitulie kwanza, nikajitutumua nikamuomba namba za simu naye hakusita akanipa.
Sasa basi usiku uleule wa Jumatatu nikampigia kwakweli nilimueleza kila kitu kuwa kwake nimezimika sijiwezi tena. Nikaona response yake, akawa anahisi masihara mara oooh acha utani. Nikasema yeeeees hapa hapa!
Sasa jana nimemuibukia kwake majira ya saa tisa mchana. Nimekaakaa pale story mbili tatu, nikamsogelea karibu. Aisee kimasihara tu mganga jana nimemla mzigo!
Jioni kama saa moja kasoro nikapanda zangu feri nikarudi mjini.
Sasa usiku akaanza mazoea na vimeseji vya ajabu.
Leo pia asubuhi kanitumia sms kuniuliza nimelalaje. Yaani hapa najiandaa leo nikalaleko kabisa. Mganga ni mtamu jamani!
Ngoja nipige kazi fasta jioni niwahi feri niendako leo nalalako kabisa, nataka nimkomeshe
Izo vodk ni za kitambo mno si zp katk vipaktMzee Vladimir sio 2017, hizi mambo zilikuwepo tangu 2005 huko. Nakumbuka nimewahi kuziuza Sana Mererani kule miaka hiyo nikiwa camp moja wanaaita Kashmir Camp, enzi hizo Vladimir na premium vodka zilikuwa zinauzika kinyama pamoja na kuber kabla hazjapigwa marufuku.
Nimewauzia Sana wana apolo mule nikiwaga dogo wakawa wakifika wananiita nyokaaa, nyokaaa
Miaka inakatika Sana asee
Sent using Jamii Forums mobile app