Ulishawahi kula tunda kimasihara?

The last confession, hii ngekewa imenitokea mwaka huuhuu mwishoni!!

Huku mkoani napofanyia kazi, kuna mzee mmoja alioa mwanamke wa kinyarwanda mzuri sana, ila kwa bahati mbaya yule jamaa mwanzoni kabisa mwa huu mwaka alifariki! Yule bi mkubwa akabakia alone na watoto na mali tu za yule mzee!

Kama unavyojua hiyo ndio huwa fursa kwa mabaharia, wengi walijaribu sana bahati zao mpak washua kabisa watu wazima na kiuchumi wako vyema lakin yule bi mkubwa aliwachomolea! Nikaona namm subir nijaribu bahati yangu maana ndio type ambayo nina bahati nayo, nikaanza mazoea ya kwenda pale shop kwake nanunua vitu, kila siku nikitoka job lazima nipite pale nifanye manunuzi, tunapiga story kidogo then ndio naondoka. Baada ya miezi michache akanipatia namba yake private sio ya ofisi( maana wengi walikuwa wanapewa ya ofisi akifunga duka anaiacha hukohuko dukani)

Baada ya kuwa nae karibu sana, nikamwambiaga kwamba kafanana sana na mama angu mdogo yupo dar huwa nampenda sana( hapa nilikuwa namzuga tu) taratibu nikaanza kumwita ma mdogo mpk akazoea, nikapima upepo kama siku mbili hivi sijapita shop kwake, akanitafuta kunijulia hali nikamdanganya nlkuwa kitandani naumwayule bi mkubwa aliguswa sana! Akataka aje home anione nikamkazia now nipo poa ila kesho kutwa ntakuja! Ile siku nimeenda tena alifurahi kinoma nikafanya manunuzi yangu as usual lkn this time akanambia atalipa mwenyew m nichukue tu!!!

Ilivyofikia birthday yangu mwaka huu mwishoni nikamueleza, nkamuomba kama vipi ajiunge namm anipe kampan maana m ni mgeni kabisa huku mkoani nayeye nishamweka kam mama angu mdogo, akanikubalia kwa moyo mweupe! Siku ilivyofika nikatoka job nikapita tena shop kama kawaida kumuungishanikamkumbusha kuhusu ahadi yake akasema haina shida, jioni ilivyofika tukakutana eneo husika japo aliniweka sana, yule bi mkubwa ule usiku alipendeza sana alizid kuwa mzuri mpk nikahisi labda nimeshalew! Baada ya kula pale na story nyng, nikamuuliza kama angehitaji kurud home, akasema poa nimrudshe, ila nikamwambia ntapitia home kwanza kuna mzgo nataka niuchukue then nikimrudsha kwake town namm nipeleke mzigo, hiyo ilikuwa zuga tu ili nimvute home, tukafika home nikapakia kibegi na laptop kumzuga tu then nkamuuliza if she was ready to go, akasimama ghafla akanikumbatia akaanza kunipa mabusu, yule bi mkubwa alikuwa na nyege balaa plus namm nlkuwa na kama miez miwil since last show, moto uliowaka hapo mpk alikuwa anamlilia mumewe!!

Kesho yake asubuhi nikamwacha home kalala nikaenda job kuomba udhuru nina mgonjwa, wakt nipo kule ikaingia sms yake alikuwa anamuelezea shoga ake kimbembe alichokipata usiku wa jana na jinsi anavyojisikia mwepesi, bahati mbaya akakosea akanitumia mimi,sikuijibu ila nilivyorudi home nikampa kimbembe kingine heavy! Mpak leo niko na huyo bi mkubwa, dah she is now 38 lkn kama msichana wa 20+ yani kama ni gari tunasema bado lipo kwenye hali nzuri kabisa!!!


NB: WABABA TUWAKAZE WAKE ZETU VIZURI BILA KUJALI HALI, ILIFIKIA KIPINDI YULE SISTER AKAWA ANANIPA HADI WEAKNESS ZA MUMEWE KITANDANI NAAMINI SIO KAMA ALIKUWA HAWEZI ILA ALIKUWA ANAFANYA KWA MAZOEA TU!! Nilichojifunza pia ukiwa nice and smart sana na huna papara hawa wadada utawaokota sana! Kikubwa uwe na mishe zako town na kipato kinachoeleweka hata kama sio kikubwa, yule sister hakuna kitu nimemzd kiuchumi na licha ya kuwindwa na ma don wengi lakini akaona bora anitunuku mimi!!
Bora niwe ovyo tu maana nikiwa smart wake za watu wanakuja kama wote
 

Similar Discussions

275 Reactions
Reply
Back
Top Bottom