Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
31,213
2,000
Classical condition & unclassical condition ni pure psychology Kuna Skimmers na jaribio lake la panya alipomfungia kengele ndani ya Banda na switch panya wakafundishwa namna ya kibonyeza switch ya umeme na chakula kumwagika pale walipohisi njaa walikuwa wakijibonyezea switch yenye kengele mara kengele ikilia na chakula kilimwagika na wao kukimbilia kukila chakula but all in all 1st degree yangu ya psychology ilinifanya kuacha ukorofi mpaka ndg na jamaa walinishangaa maana nacheza na akili za watu siumizi kichwa kuwa mtata sijui majungu siwezi muda mwingi nawaza kuwa creative na innovative hongera kwao scholars wa hii fani
Vizuri kwa kutujuza kitu kipya mate, mimi niliacha michezo ya kupigana baada ya kuanza kusoma Topic ya coordination
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom