Ulishawahi kukutana na hili kwenye mikasa ya mapenzi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Hii ni kuwakumbusha tu wale ambao bado wako wanagoogle jamani mke mwema
mwenzeni nilikutana na dada mmoja wa exim enzi hizo zijui yuko wapi siku hizi
mzuri anaumbo bashasha ilipofika siku ya kujaribu kama tunaweza ishi pamoja
binti nikampeleka sinza pale mapambano kushoto kuna ka guest akajaandikwa jina
sijui kama bado kapo kana geti nyeusi imeandikwa

"""""""""""sukuma hapa""""""""""""""""""""""" opposite na kijitonyama hospitali

tukaanza kula na kunywa baada ya muda mwenzenu nikazidiwa nikaanza kuwahi
tunda binti akaanza kugoma ilinichukua dk 20 mpaka kujua kwa nini anankatilia
anataka kuvua mwenyewe na mie sijazoe kuvuliwa hee gafla aakaenda kwenye kona ya ukuta
akachukua taulo akajifunga akashusha kila kitu

mmh machale yakanicheza huyu asije kuwa mwanaume mwenzangu nikaamua na mimi kuvaa
nguo kujitayarisha kwa lolote..nikamuuliza vipi dear akasema basii tu nikaenda chooni
niliporudi nikaenda kushika alivyovyua weeeeeee weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

mjini usione wanawake wamependeza wanawane ukazani origin klumbe comedy
nikakuta kuna dubwasha limetengenezwa kama plastic lina yale mamboyetu nyuma na hips
pembeni nakwambia nilichuku amuda kujifikiria kablaya kuamua kumwambia tuendele na vinywaji
enzi hizo ujanani mpaka nikaalala nikaamka nikamwaga twende vipi nikamwambia nahisi
ninaumwa kichwa sana kama si malaria alipolazimisha nikamwambia nikohoi mwaya kesho tuchekiane

pengine alikuwa kosa langu wala lako uliekaa kimya ila nivizuri uwe makini usione kila kimeeundwa mjini
cha kumemena vingine goooooooppp

jumatano njema
 
heheheeee, haya bana mambo yenu hayoo. Usione ukadahani..
 
Dah, hiki kisa nakifananisha na kimoja kimewahi tokea nikiwa safari kikazi masasi. Nimekoma voda fasta, lazima nikuone ukiwa kanga moja kwanza.
 
umeeeeeeeonaaaaaaaaaaaaaaa so usioneeeeeeeee watu wanajazana kanga moja ukhisi wamefwata mashoga wanatakuhakikishiwa jamani je waukweli ama zege mmh mwaya nilikoma imenikumbusha mbali jamaa mmoja alikutana na demu usiku tena kule sinza wakahaidiana kukutana usiku demu alipoingia ndan jamaa akawa amezima taa kila akitaka awashe wa do demu ataki jamaa akaenda king kwa hisia iko hapa walipomaliza demu akaomba atangulie kwanza kuondoka jamaa akashukuru sana mzigo akaomba game jumamosi mchana demu akafika akamwambia niko chumba namba 5 jamaa akafika alipochungulia akafunga akaenda kumuuliza anaesimamia lodge vipi akuna alietoka namba 5 akaambiwa huyo kaingia tangu saa tatu ajatoka ...jamaa akasimama kwenye korido akapiga simu kuhakikisha lile zigo ndan ndilo hilo ??simu ikapokelewa namba tano akaa kimya akamove distn akamwambia my dear nimepata dharura ma baby sijui kama ntaweza kuwahi huku akiitafuta parking ya bajaji kama kafukuzwa masikini binti alikuwa na 4000 tu akamwambia sasa hii buku ntalipaje akamwomba amuulize mwenye kujisajili mpesa ama tigo amtumie..akutaka hata kupiga kama ameishapata hela za mpesa ama lah..wanaume nyie loh!!!
 
Ha ha ha ahaaaaa. Hii mikasa ni noma... hasa huu wa gizani mbaya sana
 
umelewa???
 
picha.JPG

Je nahapo kuna mabox au nikitu original?Au kitu na box?Mimi sipo napita bwana
 
<br />
<br />
Samahani, huyu dada alikuwa na tatizo gani au havutii kwa maumbile ?
 
Nsiande
binafsi sikuwepo ;;ila mwana uume yule anadai akuamini kama aliemkuta ndie aliefanya nae mapenzi na aanajiuliza aliwezaje kupata hisia sasa alivyomwona na kujihisi labda inawezashindwa kunyanyuka mchana akakosa hata ka speedup ya kunyanyua
isiwe tabu.....nikikutana nae ntamuuliza yuko iringa mwaya
 
Back
Top Bottom