Ulishawahi kujiaandaa kumpiga chini, naye anakupga kibuti!!!!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulishawahi kujiaandaa kumpiga chini, naye anakupga kibuti!!!!"

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pasco_jr_ngumi, Dec 24, 2011.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwangu ilinitokea,

  Nilifurahi kimoyomoyo... cijuw nae alikasirika au alifurahi!

  JE WEWE IMEWAHI KUKUTOKEA???
   
 2. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 80
  Sina rekodi ya kupigwa kibuti mara zote mimi ndo huwa napiga chiniiiiiiiiiii
   
 3. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Basi ww hujawafyatua madem wengi!!! hata 500 hawafiki.....

  Ongeza speed, yatakukuta haya!!!
   
 4. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,589
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  duh! Mkuu kama umenilenga mimi vile! Imenikuta juzi kushinda jana! Nimemchunia kumpigia et na yeye hajapiga hadi sasa! Yani nimefurahi ile mbaya!
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha ule usemi wa Mwosha uoshwa!
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwwiiiiii kwiiiiiiiii.

  mi aliniomba tuhelaa, tu-elfu hamsini, mi nikakaa kimyaaaaa........

  nazuga, yes, na yeee akaingia mteegooni.. kwishney!!!!!!
   
 7. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa....vipi ile mtu anajifanya kutingisha kiberiti kwa kusema,' Mi nshachoka kama vipi tuachane'...kisha unamjibu,'Freesh,kwani kitu gani..' then unapiga kimyaa,kumbe ulikuwa unasubiriiiiiia hilo moment hapo full shangwe.. Baada siku chache partner haamini kilichotokea na misamaha millioni eti alikuwa anatania....#Anasahau kuwa matapishi hayalambwii!
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  jitahidini muoe
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,983
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  ilinitokea na iliniuma sana. Kuna dada nilikuwa naye baadaye nikaanza kufukuzia ngoma mpya. Nikiwa kwenye harakati nikaanza kujiandaa kumuacha yule wa1 kwani huyu wa2 alionyesha kukubali. Kumbe yule wa kwanza naye alivyoona mabadiliko akabindi pembeni na mi akaniacha,kwenda kwa mwingine na ye amegeuza kibao. Aisee ilinitesa.! Nilikaa mwaka mzima bila kuwa na gf. Ni kama aliniharibia nyota.
   
Loading...