Ulishawahi kugombana na mtu halafu baadaye mkapatana na kuwa maswahiba wa karibu sana (best friends)? What happened?

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,325
2,000
Kuna watu wana roho za ajabu sana, yaani mnaishi nyumba moja halafu anakuibia mshahara wako na bado anakuangalia usoni bila aibu?!
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,325
2,000
Watu WENGI wakikosea jambo, au wakipata matokeo mabaya hulaumu watu.
Mfano "fulani alisababisha nsipate dili"
Kumbe haikua bahati yako tu.
Sasa nami nahimiza LOSERS waendelee kutafuta watu wa kulaumu!


TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
Utakuwa na roho kama ya huyo jamaa aliekula pesa ya watu, huo ni wizi.
 

Kwizer

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
420
1,000
2004 nikiwa form three nimehamia shule moja huko mkoa wa Mara nilikuwa nakaa dawati moja na mwana mmoja hivi, tulishibana sana. Siku moja j3 ile naingia class nikakuta kamekaa kadada kamoja hivi, kilikuwa kizuri kias, sasa huyo mshikaji wangu na hako kadada mi niliwakuta wao walianza tangu form 1. Sasa katika kukaa vile, mimi kale kadada kakawa kananikera vimambo mambo vyake vya nyodo na kuringa, automatic tu nikawa sipatani nako, mara nyingine nikawa nakimaind kinoma noma, muda mwingine kinanitukana halafu kinakimbia

Kuna kipindi nilipigwa suspension, tukatakiwa kurudi shule kufanya adhabu, tulivyorudi ilikuwa ni kipindi cha likizo, nikamwambia mwana anisindikize kwao na demu nikamsalimie, kweli tukaenda jamaa akaenda kumuita akatoka nje mdada akamwambia fulani amekuja kukusalimia(mimi sasa huyo akanitaja), demu akamwambia acha ujinga wewe, aje kunisalimia mimi kama nani? Nilikuwa nimekaa nyuma ya mti nikajitokeza, hakuamini. Akanihug pale, tukaenda kukaa shule ya msingi tukaanza kupigapiga stori pale.

Nikaanza kukatomasa tomasa, kananizuia mara kananiachia. Shortly tuliishia kuwa wapenzi, shule nzima walijua mpaka staff room haikuwa kificho, baada ya kumaliza cha 4 nikarudi zangu hom nikaja kusikia aliolewa na jombi moja ya North Mara
 

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
7,052
2,000
Mwaka 2010 niko mwaka wa kwanzaa chuoni, nliibiwa bum loooote
Jamaa mmoja akawa ananiliwaza liwaza ndio maisha ya chuo nivumiliee,
Kufatilia kumbe mwizi ni yeyeeee, daaaaaaah nilimbadilikia jamaa, maana benki walikua wanamtaka na chuo wanamtaka

Jamaa alimwaga chozi akilia huku akiomba msamaha na akiniahidi atanipa pesa zangu na fidia
Huruma ikanitawala nikamwambia arudishe changu yaishee
Akafanikiwa kurudisha japo kwa awamu

Ajabu sasaaaa toka hapo mpaka leoo jamaa ndio kawa rafiki yangu mkuu, yaani best friend, kwetu wanamjua na kwao wananijua...

Kituko cha pili baada ya kwanza kazi
Siku moja nikaenda ofisi za maji kigoma kulipia bilii, nikakutana na dada mmoja mtumishi wa hiyo ofisi, ni mdada wa kisasaa mzuri, anajua kuvaa,

Dadaa akanivagaa kuniita mie muhuni, moto nlomuwashia hapo hapo ofisini kwaoo alitia huruma,
Ajabu watumishi wenzie hakuna hata alioingilia kumtetea, mwisho wa siku akaniomba yaishe, na yakaisha hapo badooo
Kumcharua nikamwomba namba ya simu akanipa bhanaaa

Huwezi amini akawa wangu kinomaaaa nikimtaka muda wowoteeee anakujaaaa
Anakuja kufanya nini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom