Yes na hadi leo hatupo COMPATIBLE kama zamani japo tunasalimianaUnafanyake ikitokea tu, mfanyakazi mwenzio amebadilika juu yako, bila ww kujua kosa gani umemfanyia ? Unaishi nae vipi ?
mkuu kuna mmoja nawaza nimuulize kama kuna jambo lolote nimemfanyia au nikaushe tu ivi ivi, ata sielewi. Tho, naweza kua cool na mimi na mambo yakaendaHaya ni mambo ya kawaida sana katika jamii yenye watun wa haiba tofauti. Kuna watu wamezaliwa na visirani na kubadilika ni ngumu, Unakuta anaamka asubuhi anaanza kukuchukia tu bila sababu kama mama mjamzito.
Dont hate back wewe msalimie tu asipokujibu atajiju. mwishowe atajionea aibu mwenyewe.
mkuu kuna mmoja nawaza nimuulize kama kuna jambo lolote nimemfanyia au nikaushe tu ivi ivi, ata sielewi. Tho, naweza kua cool na mimi na mambo yakaenda
Nshagombana sana na jamaa mhasibu wa kampuni yetu kisa ubaguzi, ananibagua kisa Mimi mweusi
Unafanyake ikitokea, mfanyakazi mwenzio amebadilika juu yako, bila ww kujua kosa gani umemfanyia? Unaishi nae vipi?
Sasa mkuu mfano mimi, simchukii wala sina kosa nae, ila yeye unaona hayupo vizuri na mimi bila kueleza ttzo nini. Sasa nimfanyeje ?Jifunze kusamehe na kusahau kwa kumaanisha haijalishi umeumizwa kiasi gani. Hii hali hutokea kwa njia au sababu mbalimbali inaweza kuwa wivu kimaendeleo, kimaisha, kiakili, kiuwezo ktk utendani, kukubalika ktk ofisi au kuzungumzwa vizuri zaidi au kinyume chake.
Kikubwa ni kusamehe maana kila jambo unaloliona ktk mwili chanzo chake kinaanzia rohoni.
Ukijiepusha kwa kusamehe na kusahau, wewe huyo mtu mjali kama zamani usipunguze upendo kwake ikibidi jitahidi uongeze utapata kujua baadae hasira ikiisha.
Tupendane na kuchukuliana madhaifu yetu. Leo kwake kesho kwako. Utakavyomtendea leo ndivyo utakavyotendewa kesho.