Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tanzania?

Yaani hapa ndipo waarabu na wahindi wanatuchapa gap.

Wao hata mtoto wa miaka 16 ashafundishwa kila kitu kuanzia lori la mjomba la kusafirisha mzigo kwenda bandarini, connections za bandarini, documents, n.k kwao inakuwa kama kucheza gemu
 
Sure mkuu usemacho
Kuna umuhimu wakujifunza kutoka kwao watu kama hao. Wametupiga gap kubwa Sana wao tangu wakiwa wadogo wanajua jinsi ya kufanya hizi deals
 
Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tz.

Njooni hapa mtoe uzoefu vijana wajifunze kutoka kwenu.
Kusafirisha bidhaa kwenda nje ya nchi siyo kazi sana hasa kama bidhaa hizo ni raw materials.

Muhimu ni wewe upate wateja wa uhakika huko nje ya nchi.
 
Mkuu vp kuhusu malipo nan anatakiwa kuanza kulipa.
I had a deal with some Eastern Africans fellows na hawana kampuni wanahitaji mazao kutoka kwangu vp unauzoefu ? Toa neno japo moja
 
here we go...
Mfano Biashara ya kuexport nyama ya kondoo na ngozi za wanyama wengine.
Serikali imeweka 80% levy kwenye kuexport ngozi.

Isitoshi nchi za EU na USA hawataki hides and skins.

Wanataka Wet Blue.

Na kila nchi ina sheria zake kwenye nyama ya kondoo. Strict measures za EU, US na Japan huwezi linganisha na Middle East.
 
Ahsante Sana mkuu nazidi kupata njia....
 
Nop huwa cdeal na vishkaji vya chuo tantalila nyingi wale.
Ila right now shughuli za Shamba zimenibana. Ila kunajamaa wanahitaji nyama ya kondoo na mafuta oman vp mkuu unauzoefu na hii tupe maujanja kidogo
Duh ujipange hiyo biashara sio ya kitoto. Hao kondoo inabidi wawe wamehasiwa ili kuondoa "male odor"/halufu ya kiume/pumbu/korodani ndio wakubaliwe.
Umri na uzito wa kondoo lazima uzingatiwe, vipimo vya magonjwa kabla na baada ya kuchinjwa n.k
 
Ahsante kwa ushauri ndugu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom