ulisha wahi kuchapia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ulisha wahi kuchapia!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by XOXOQY, Nov 27, 2011.

 1. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi badala ya kusema "INAKUWAJE" nilisema "INAKUWANJE"
   
 2. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi badala ya kusema
  "XOXOQY"Nikasema-
  "XXX-KIU"
   
 3. wantuzu

  wantuzu Senior Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  binamu yangu akiwa 'mc' kwenye shughuli ya ubarikio - alitaka kusema "sasa ni wakati wa tendo la kukata keki" aksema "sasa ni wakati wa tendo la ndoa"

  wacha ndugu wamzonge .
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kdddk!!!
   
 5. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mima badala ya kusema supu ya kuku nilisema suku ya pupu!
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hahahaha,,, hii kali sana,,, imenikumbusha mimi badala ya kusema simba na yanga, nikasema singa na yamba
   
 7. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  nipo kwny presentation, njemba badala ya SECOND POINT nikapiga SECOND CHANCE.
   
 8. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Jamaa badala ya kusema "amemnyonya denda demu mwenye vidonda mdomoni" akasema
  "amemdonda nyenya demu mwenye vidomo mdondoni."
  nakumbuka hii ilivunja rekodi mwaka mzima haikufutwa kwani tulikuwa tunaandika ukutani mtu achapiapo.
   
 9. M

  Mipesa Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh! Teh! Mi nilisalimiwa hivi "habari za asubuhi" sasa kichwan yakaja majibu mawili, jibu la safi na nzuri. Sasa kwa haraka ya kujibu nikajikuta nimesema nzafi. Sijui yule mama alinifikiriaje
   
 10. MVAA GWANDA

  MVAA GWANDA Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilitaka kumuambia mtoto ' toa mkono mdomoni unapoongea' si nikabugi nikasema ' TOA MDOMO MKONONI' wacha acheke mtoto!
   
 11. MVAA GWANDA

  MVAA GWANDA Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa mmoja alikuwa anamcheka mwenzie kwa kuchapia neno, matokeo yake nae akaishia kusema ' Haa haa haa! UMEPACHIA':A S 465:
   
 12. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mi badala ya kuitikia marahaba baada ya kuamkiwa na katoto mi nikaitikia shikamoo!
   
 13. Kifuniko

  Kifuniko Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii inanikumbusha mbali sana tulipokua tunapita kuwapa maharusi mkono wa hongera nikasahau nikasema poleni sana
   
 14. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Chumban alikuwepo vero na fredy nami nilikuwa nimeagizwa nimuite vero sasa wkt naingia chumban gafla mlangon nikakutana na fredy nikajsahau nikaita 'VEDY'
   
 15. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tukiwa class ktk presentation mshkaji badala ya kutamka also akatamka Oslo
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mume wangu ndio bingwa sasa! ana namna nyingi za kuchapia:
  1. anabadilisha maneno katika sentensi: uzungu wa mchawi unanguvu badala ya uchawi wa mzungu una nguvu
  2. anabadilisha syllabic ndani ya sentensi: vyakula vya mtana ni vichamu kuliko vyakula vya mchana ni vitamu
  3. anabadilisha herufi ndani ya sentensi. hii nahifadhi coz imekaa ya kikubwa zaidi :)
  It is called "spoonerism" in english au "contrepetries" in french.
   
 17. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii imenikumbusha mbali sana,kuna kipindi hii kitu ilikuwa maarufu sana sehemu zileee kipindi kileeee kiasi kila mtu alikuwa makini kumsikiliza mwenzie ili akichapia amcheke.

  Nakumbuka mama mmoja akiwa uani na akina mama wengine na watoto kibao si unajua maisha ya uswazi,basi akasikika akilalama,"Nyie watoto ebu nendeni huko mkacheze,hivi wako hapa wanasubiria mtu usapie wakucheke" watoto nao kachapia

  Nyingine tuko makaburini baada ya kumzika mpendwa wetu,sasa inasomwa historia fupi ya marehemu,jamaa aliyekuwa anaisoma alikuwa akichapiachapia sana,jamaa mmoja katika ndugu wa marehemu akamng'anya ili atusomee,basi ile jamaa anaanza tu,"Historia fipi ya marehemu" watu wakasahau kama wako makaburini kwa kicheko.
   
 18. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hata mimi mkuu imewah nitokea
   
 19. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Mkuu hii kali sana...yaani duh!!!!!!!!!!!ahahahahaha!
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu alikuwa na lake jambo akilini
   
Loading...