Ulipwaji wa fidia wahanga wa mabomu G/mboto

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
453
Wakuu jana kituo cha television chanel ten saa moja usiku walifanya mahojiano na wahanga wa mabomu ya g/mboto waliokuwa wanalipwa fidia kutokana madhara kwa familia na mali za wahusika. Kuna baadhi ya waathirika walidai kulipwa fedha kidogo, wengine wamepewa hundi ya thamani ya tsh 5000 na wengine kudai hata majina yao hawayaoni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom