ulipokuwa mtoto, ulifanya nini cha kufurahisha?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,739
10,068
999625_10151730470421792_1408716885_n.jpg


tuambie na wewe ulipokuwa mtoto ulifanya nini cha ajabu?, but sharti kiwe cha kuchekesha!!
 
Nilikua nimefungwa mgongoni na dada na kuelekea sokoni......kufika gengeni! Dada akaanza kuchagua nyanya. Sasa pale gengeni walikua wamening'iniza miwa mimi nikiwa mgongoni nikaanza kurefusha ulimi kutafuna miwa ile bila dada kujua......ikabidi ainunue
 
Back
Top Bottom