Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

M nilikuwa nawaza tu kuoa maana nilipokuwa nalala mboo ilikuwa inadinda kinyama
 
Ulipokuwa mdogo ulitaman Kuwa mkubwa, niambie ni nn kilikuvutia mpka utaman ukubwa je leo hii hujuti kuwa mkubwa!?? I tiririka hapa tuone ni wangani na akina nani walikuwa wanamawazo yanayofanana
Nilitamani kua mkubwa ili niwe rubani nirushe yale ma boeing 747,777, etc.
 
Nilikuwa nataman kuwalamba wanawake warembo walionizd umri kipindi iko so nikalilia ukubwa .kwa sasa nimeshatosheka nataman utoto kwan kero zinazd .
 
kuna mambo kama mawili Hivi yaliyokuwa yananifnya nitamani kuwa mkubwa

(1) nilikuwa nikiona wanawake wenye chura nasema wakubwa wanafaidi ..
kauli hii ilikuwa inanipa tamaa ykupnda kuwa mkubwa

(2) nilikuwa natamani niwe mkubwa ili kurejesha vipigo nilivyokuwa na vipata kwa watu walionizidi umri
Ok now hao chura unawapata bila shida au majanga tu
 
Nilikua napenda sana kulala sasa tatizo kuamka SAA kumi na mbili eti nawahi shule hakuna kitu nilikua natamani kama na Mimi niwe mkubwa niwe nalala mpaka muda nitakaojisikia ...nilikua nawaonea wivu sana walimu eti anakuja shule SAA mbili
Hahahahah
 
Back
Top Bottom