Ulipokuwa mdogo kitu gani ulikuwa ukitaniwa UNALIA?

andjul

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
15,439
Points
2,000

andjul

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
15,439 2,000
Mimi kitisho kikubwa ilikuwa ndege, nikifanya jeuri kidogo walikuwa hawachelewi kuniambia "nitakuitia ndege" au muungurumo wa gari lakini naambiwa "ndege hiyo inakuja kukuchukua".... Kituo cha kwanza ni uvunguni.
Pamoja na uzee nilio nao bado naogopa ndege na nimeapa kutozipanda nikiwa hai.
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,893
Points
2,000

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,893 2,000
Mimi pale mtaani kwetu kulikuwa kuna kibibi kizee hivi....kile kibibi kila kikiniona kilikuwa kinaniita mume wangu na nilikuwa nachukia kishenzi maana alikuwa mzee sana. Basi nikiamka huku nimejikojolea, Mama alikuwa ananitishia kuwa anakwenda kumwambia mke wangu aje kunichukua naanza kulia na kukimbia. Kuna siku nilikuwa nimelala fofofo, nikaota ndoto nakimbizwa na yule bibi ili nimuoe, nikawa namkimbia huku nikijikojolea barabarani. Kuamka asubuhi ili niwahi mchakamchaka shuleni nikakuta nimetengeneza Ziwa Victoria kitandani, kisa kukimbizwa na yule bibi.
 
mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
933
Points
1,000

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
933 1,000
Mimi pale mtaani kwetu kulikuwa kuna kibibi kizee hivi....kile kibibi kila kikiniona kilikuwa kinaniita mume wangu na nilikuwa nachukia kishenzi maana alikuwa mzee sana. Basi nikiamka huku nimejikojolea, Mama alikuwa ananitishia kuwa anakwenda kumwambia mke wangu aje kunichukua naanza kulia na kukimbia. Kuna siku nilikuwa nimelala fofofo, nikaota ndogo nakimbizwa na yule bibi ili nimuoe, nikawa namkimbia huku nikijikojolea barabarani. Kuamka asubuhi ili niwahi mchakamchaka shuleni nikakuta nimetengeneza Ziwa Victoria kitandani, kisa kukimbizwa na yule bibi.
Teh teh teh, utoto bn
 
troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
10,268
Points
2,000

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
10,268 2,000
Mimi pale mtaani kwetu kulikuwa kuna kibibi kizee hivi....kile kibibi kila kikiniona kilikuwa kinaniita mume wangu na nilikuwa nachukia kishenzi maana alikuwa mzee sana. Basi nikiamka huku nimejikojolea, Mama alikuwa ananitishia kuwa anakwenda kumwambia mke wangu aje kunichukua naanza kulia na kukimbia. Kuna siku nilikuwa nimelala fofofo, nikaota ndogo nakimbizwa na yule bibi ili nimuoe, nikawa namkimbia huku nikijikojolea barabarani. Kuamka asubuhi ili niwahi mchakamchaka shuleni nikakuta nimetengeneza Ziwa Victoria kitandani, kisa kukimbizwa na yule bibi.
 
FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Messages
503
Points
500

FK21

JF-Expert Member
Joined May 27, 2019
503 500
Asee nakumbuka nilikuwa na kitomvu kikubwaaa, Sasa bwana na kule kijijini mda mwingi nakuwa Sina shati. Duuh watu walikuwa wanakishika kitomvu changu na kukibonyeza kama honi ya gari.

Aisee nilikuwa nakasirika mpaka nalia.

Wewe je?
duh! pole kwa kuwa na kitovu kikubwa
 
Wako Mtiifu

Senior Member
Joined
Feb 1, 2018
Messages
127
Points
250

Wako Mtiifu

Senior Member
Joined Feb 1, 2018
127 250
Kule kwetu tumezoea sana kukatisha majina ya watu, kwa mfano dorice ataitwa dori kama ilivyo kawaida ya sehemu kubwa ya tz, Sasa mimi jina langu ukilikatisha linabaki ALu ko wajinga niliocheza nao wakawa wananiita ALUMINIUM basi daah nilikua namaind balaa:mad: mpk somtm nadoji kwenda shule.
 
Forum statistics

Threads 1,344,264
Members 515,388
Posts 32,813,458
Top