Ulipokuwa chuo au kazini uliwahi kupitia haya na ukaamini hakuna Mungu kabisa?

unacheka unamana gani

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
483
470
Wakati nikiwa chuoni pale Mlimani, nilipitia kitu cha ajabu sana. Nilikuwa nasoma SANA, kwa maarifa na juhudi, ila matokeo yakija najikuta nina nne kati ya kumi, assignments kupata 2/5 ilikuwa ni kawaida mno kwangu. Kuna wale ambao walikuwa wanakesha club unakuta wanapata marks za juu, wasichana ambao walikuwa wanakesha kwa madanga weekends, wanapata higher marks than I got! Nilikuwa naumia sana.

Ni miaka mitano baadaye ndio nikaigundua SIRI, kwa nini hii nilikuwa naipata mimi tu? Mbona nilikuwa nina juhudi? Mbona nilikuwa nasali sana? Ilifika wakati mpaka nilitaka kwenda kwa manabii kuwekewa mikono na kuombewa ila nilikuwa ninaghairi tu nikiona ni kawaida, wakati huo nikizidi kudidimia katika giza nene.

Nilianza mpaka kuhisi nina MAPEPO, why me? Nilijiuliza sana swali hili. Kwa nini mimi? Kumbe nilikuwa nachezewa, na ukizingatia sikuwa naamini haya mambo, kumbe watu walinichukulia point hapo, nikawa nachezewa ila niliona ni hali tu ya kawaida, hakuna uchawi, japo nafsi ilinishuhudia sipo salama.

Mpaka hapo nilipochukua hatua, niliona mabadiliko makubwa, fikiria ningemaliza chuo na 1.7GPA? HII NILIIGUNDUA MWISHONI MWAKA WA PILI. JAMANI KUCHEZEWA KUPO, KUNA VIMICHEZO VYA KIJINGA SANA VYUONI, JAPO VIJANA HATUAMINIGI HIVI VITU.

Yaani jitu limekaa huko halisomi halafu linatumia kichwa changu kufaulu, haya mambo yapo aisee, sijui wanatumia mechanism gani mpaka MTU anafaulu kwa akili yako.
Nimejifunza somo kubwa mno nikiwa chuo. Namshukuru Mungu. Siku nikiamka vizuri nitaleta kisa kizito cha yote yaliyonipata wakati huo.

Uliwahi kupitia hali hii ukiwa chuo au kazini? Tupe uzoefu wako watu wapone, hali inatisha.
 
Wakati nikiwa chuoni pale Mlimani, nilipitia kitu cha ajabu sana. Nilikuwa nasoma SANA, kwa maarifa na juhudi, ila matokeo yakija najikuta nina nne kati ya kumi, assignments kupata 2/5 ilikuwa ni kawaida mno kwangu. Kuna wale ambao walikuwa wanakesha club unakuta wanapata marks za juu, wasichana ambao walikuwa wanakesha kwa madanga weekends, wanapata higher marks than I got! Nilikuwa naumia sana.

Ni miaka mitano baadaye ndio nikaigundua SIRI, kwa nini hii nilikuwa naipata mimi tu? Mbona nilikuwa nina juhudi? Mbona nilikuwa nasali sana? Ilifika wakati mpaka nilitaka kwenda kwa manabii kuwekewa mikono na kuombewa ila nilikuwa ninaghairi tu nikiona ni kawaida, wakati huo nikizidi kudidimia katika giza nene.

Nilianza mpaka kuhisi nina MAPEPO, why me? Nilijiuliza sana swali hili. Kwa nini mimi?

Uliwahi kupitia hali hii ukiwa chuo au kazini? Tupe uzoefu wako watu wapone!!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Part 2 inatoka lini..?
 
Brother, ulikua na uwezo mdogo. Hivyo vingine ni visingizio tu. Kama umesema ulikua unasali sana, iliwezekanaje ukachezewa?

Hata hao unaosema watu wa bata na wadangaji, wapo vilaza na vipanga pia. Nimesoma chuo na mdada anakigawa kinoma, masela karibia wote walipita nae. Ila class alikua anaperfom safi tu. Na kuna mdada alikua mtu wa dini kinoma, hana mambo mengi tofauti na kanisa na shule. Yeye aliweka rekodi ya kupiga SUP tano ( alizichomoa zote).

Kwahiyo haukuchezewa kaka, ni uwezo wako uliishia hapo!
 
Mungu akusamehe! Hujui nilipitia nini na nilikuwaje, hiyo ilikuja ghafla tu, haikuwa kawaida yangu.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Brother, ulikua na uwezo mdogo. Hivyo vingine ni visingizio tu. Kama umesema ulikua unasali sana, iliwezekanaje ukachezewa?

Hata hao unaosema watu wa bata na wadangaji, wapo vilaza na vipanga pia. Nimesoma chuo na mdada anakigawa kinoma, masela karibia wote walipita nae. Ila class alikua anaperfom safi tu. Na kuna mdada alikua mtu wa dini kinoma, hana mambo mengi tofauti na kanisa na shule. Yeye aliweka rekodi ya kupiga SUP tano ( alizichomoa zote).

Kwahiyo haukuchezewa kaka, ni uwezo wako uliishia hapo!
Usichojua ni usiku wa giza, kwani ukisali huwezi kuchezewa? Na sikuamini ila ukweli ni kwamba nilifanyiwa michezo mibaya mno.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Wakati nikiwa chuoni pale Mlimani, nilipitia kitu cha ajabu sana. Nilikuwa nasoma SANA, kwa maarifa na juhudi, ila matokeo yakija najikuta nina nne kati ya kumi, assignments kupata 2/5 ilikuwa ni kawaida mno kwangu. Kuna wale ambao walikuwa wanakesha club unakuta wanapata marks za juu, wasichana ambao walikuwa wanakesha kwa madanga weekends, wanapata higher marks than I got! Nilikuwa naumia sana.

Ni miaka mitano baadaye ndio nikaigundua SIRI, kwa nini hii nilikuwa naipata mimi tu? Mbona nilikuwa nina juhudi? Mbona nilikuwa nasali sana? Ilifika wakati mpaka nilitaka kwenda kwa manabii kuwekewa mikono na kuombewa ila nilikuwa ninaghairi tu nikiona ni kawaida, wakati huo nikizidi kudidimia katika giza nene.

Nilianza mpaka kuhisi nina MAPEPO, why me? Nilijiuliza sana swali hili. Kwa nini mimi? Kumbe nilikuwa nachezewa, na ukizingatia sikuwa naamini haya mambo, kumbe watu walinichukulia point hapo, nikawa nachezewa ila niliona ni hali tu ya kawaida, hakuna uchawi, japo nafsi ilinishuhudia sipo salama.

Mpaka hapo nilipochukua hatua, niliona mabadiliko makubwa, fikiria ningemaliza chuo na 1.7GPA? HII NILIIGUNDUA MWISHONI MWAKA WA PILI. JAMANI KUCHEZEWA KUPO, KUNA VIMICHEZO VYA KIJINGA SANA VYUONI, JAPO VIJANA HATUAMINIGI HIVI VITU.

Yaani jitu limekaa huko halisomi halafu linatumia kichwa changu kufaulu, haya mambo yapo aisee, sijui wanatumia mechanism gani mpaka MTU anafaulu kwa akili yako.
Nimejifunza somo kubwa mno nikiwa chuo. Namshukuru Mungu. Siku nikiamka vizuri nitaleta kisa kizito cha yote yaliyonipata wakati huo.

Uliwahi kupitia hali hii ukiwa chuo au kazini? Tupe uzoefu wako watu wapone, hali inatisha!!!!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Yaani kama wewe ni msomi na unaamini huo upuuzi wa "kuchezewa"basi wewe ni hasara kwa Taifa.yaani akili uwe nazo wewe!harafu kwenye kujibu mtiani mtu mwingine afaidike na akili zako wewe!!yaani kama moja jumlisha moja ni mbili ,wewe kwenye mtiani wako huwndike tatu,harafu,jibu sahihi litokee kwenye mtiani wa mtu mwingine!!we jamaa ni kichwa maji kabisa.
 
Usinitusi mzee, yamenikuta haya. Usiombee kabisa, ohooo!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbinu zako ndiyo mbovu.......kufanya kazi kwa bidii sana sio uhakika wa mafanikio popote duniani...........bali kufanya kazi kwa akili ndiyo siri ya mafanikio...

Mimi nimesoma na watu wenye stori za kufanana na wewe....ila walipo badilisha mbinu ..maisha yalibadililka

Kwa walio shule sasa hivi...kichwa kinaweza kuwa active kwa takribani dakika 45...ukisoma zaidi ya hapo wakuu mutakula mbwa .......
 
Duuuh takribani dk 45? Okay ila mimi nilitumia si tu nguvu, Bali na akili na maarifa mengi. Na kuhusu kuchezewa ni kweli nilichezewa na uthibitisho niliupata. Ndivyo ilivyo!

Back
Top Bottom