Tina
JF-Expert Member
- Jul 9, 2007
- 572
- 579
Eti mashine zinazotambuliwa na serikali kuwa zina viwango vya kuweza kuthibitisha mtu ni mwathirika ama si mwathirika zipo MUHIMBILI na AGA KHAN Hospitals tu.
Jaribu kupiga picha na ujifikirie, unaelewa hii inamaanisha nini?
Haya sijayaanzisha mimi. Waziri wetu David Mwakyusa katamka mwenyewe kwa kinywa chake huku akidai hawana jinsi ya kudhibiti vifaa vingine.
Kwa maana hiyo basi:

- Kama ulipima ukakutwa una ngoma una fursa bado kwenda kuthibitisha katika hospitali hizi mbili.
- Kama ulipimwa ukaambiwa huna kajihakikishie huko.
- Waliopima Angaza wajue lile ni deal la watu as an NGO na limebuma.
- Kama haya ni kweli basi kuna uwezekano badala ya kupimwa unadungwa virus zaidi. Kumbuka wenzetu hawatupendi hata kama hawakwambii directly.