Ulipiga kura mwaka 2005?

Ochu

JF-Expert Member
May 13, 2008
975
47
this is the moment of truth. let as be since and disclose what we did in secret ballots!!! did you vote for Kikwete? what were your expectations? if you voted for him, do you regret? is there possibility for him meeting your expectation? why did you vote for him?
 
mimi ni mmojawapo ya watu waliomchagua JK ila hadi sasa nasikitika kumpa MSANII nchi yenye hadhi kubwa. Na siamini macho yangu hadi sasa ninavomuona maendeleo yake ya sasa na yabadae.,
 
I voted for CCM but my interest was to Salim A. Salim. there was no way out because the guy was nomminated on the other hand Upinzani haukuwa strong kuweza kuchukua nchi.
 
I voted for CCM but my interest was to Salim A. Salim. there was no way out because the guy was nomminated on the other hand Upinzani haukuwa strong kuweza kuchukua nchi.
tatizo letu Tanzania hatuna alternatives. jaribu hata sasa hivi kufikiria 2010 utampa nani kura yako utaona giza tu mbele.
 
Mi sikupiga ila sababu nilikuwa mkoa mwingine na ule niliojiandikisha but kwa wale waliomchagua JK naona wanajuta but kulikuwa hakuna altenative
 
Binafsi sikumpigia kura kikwete na mimi nilikuwa ni mmoja ya watu waliokuwa wakizibeza porojo na ahadi zake zisizotekelezeka.
 
Sikupiga wka sababu nilikuwa mbali na kituo changu cha kupigia kura. lakini hadi hivi sasa najiuliza na sijapata jibu kuwa iwapo ningepiga kura ningemchagua nani kati ya wagombea wote
 
Ukweli ni kuwa Kikwete aliwekwa madarakani na kundi dogo sana lenye nguvu kubwa sana kifedha, na kundi hili ndilo Kikwete amekuwa akilitumikia na kuwajibika kwalo. Kinachofanyika sasa hivi ni namna ya kurudisha fedha ya hawa waheshimiwa waliomweka ikulu kabla ya uchaguzi wa 2010. Kama unafikiri vinginevyo subiri mwaka wezi wa EPA watakaopelekwa mahakamani. Tumesikia jana kuwa kwa kuwa EPA ni suala la miaka zaidi ya 20, na lilihamia BOT toka NBC kipindi ambacho hata kompyuta hazikuwepo hivyo kupotea kwa nyaraka nyingi muhimu. If this is what the president is telling our esteemed MPs, mwananchi wa kawaida atakuwa na matumaini gani? We are simply lost.
 
I voted for CCM but my interest was to Salim A. Salim. there was no way out because the guy was nomminated on the other hand Upinzani haukuwa strong kuweza kuchukua nchi.

Hivi u strong wa kuchukua nchi ni upi? hebu fafanua. Haya ndiyo mawazo tunayotakiwa kuyabadilisha humu JF.
 
Nilimpigia Jakaya na bado nina imani nae kubwa,sikumtegemea kama angeleta maajabu kimuujiza, kila myu ana wajibu wa kujenga nchi mbana hatuwaulizi madaktari wanaotaka wote kukaa mjini huku vijijini nani atatibu?walimu wote wanakaa dar wakipelekwa mkoani wanaacha kazi.kama mishahara haitoshi mikoani lakini dar inatosha.
 
Ukweli ni kuwa Kikwete aliwekwa madarakani na kundi dogo sana lenye nguvu kubwa sana kifedha, na kundi hili ndilo Kikwete amekuwa akilitumikia na kuwajibika kwalo. Kinachofanyika sasa hivi ni namna ya kurudisha fedha ya hawa waheshimiwa waliomweka ikulu kabla ya uchaguzi wa 2010. Kama unafikiri vinginevyo subiri mwaka wezi wa EPA watakaopelekwa mahakamani. Tumesikia jana kuwa kwa kuwa EPA ni suala la miaka zaidi ya 20, na lilihamia BOT toka NBC kipindi ambacho hata kompyuta hazikuwepo hivyo kupotea kwa nyaraka nyingi muhimu. If this is what the president is telling our esteemed MPs, mwananchi wa kawaida atakuwa na matumaini gani? We are simply lost.
na ndio maana sasa anawalinda
 
Back
Top Bottom