Ulipaji wa NSSF kwa wafanyakazi wa sekta binafsi

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Husika na mada hapo juu wapendwa, Naomba kuuliza hivi

1. Kujiunga nssf je NIDA ndio mambo yote au unaweza kusajiliwa bila NIDA.

2. Je, hawa NSSF wakija kituoni kwenu kwa kazi wakachukua details zako especialy jina na mshahara kwa watumishi wote je wanao uwezo wa kuwaunga bila NIDA

3. Na je wakikuunga wanauwezo kukukata hela.

Msaada jamani hawa jamaa wanataka kunikata hela na nakusanya niendee kusoma na kutoa mle ni mbinde kwa maswali hayo
 
hiyo mifuko ya jamii ni majanga
wameiunganisha kwa sasa na watakata tu mshahara wako, na mwajiri pia anatakiwa akuchangie zikahifadhiwe huko, zamani ilikuwa hupati hata kidogo mpaka ufike miaka 55.
Mkwe wangu alifariki akiwa Shirika la Reli, tumeenda kudai na mke wangu, hakuna kitu
 
Vipi NIDA haihitajiki
 
Manake ukiwa unajiunga lazima utoe taarifa hizo
Jina
Kitambulisho cha kura n.k usipowapo wapa hawakuunga
 
Bora afanye hivyo maana MEKO anazitolea macho fedha za mifuko ya hifadhi ya jamii sana.
Walichonifanya aisee Mungu anawaona yaani unahitaji kusubiri miezi 18 baada ya kumaliza kuchukua fao la kukosa ajira, mbaya zaidi staff wao ni watu wa kuogopa changamoto kwa maana ya kumwambia mtu ukweli yaani mambo yapo hivi na hivi lakini wanakuwa wanakwepa kwepa kama wanasiasa
 
Daaah inasikitisha sana kwa kweli...miezi 18 yote hiyo mtu unakula nini?
 
1. Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri NIDA hapo mwanzo hakua lazima na hata sasa sio lazima uwe nayo.
2. Wao hawawezi tu kuunga kwa kupitia majina na details za mshahara. kuna form mwenyewe unaijaza utaweka na fingerprints ndo utafunguliwa account na kupewa kitambulisho
3. Kukata hela ni compulsory na mwajiri wako ndo anatakiwa kukata hela... hii ni hata kama huna account NSSF as long as ni muajiriwa utakatwa hela ya NSSF zitakua pending hadi ukipata account ndo zitaingizwa kwenye account yako.

point hizi sio verified ni according to my understanding.
Husika na mada hapo juu wapendwa, Naomba kuuliza hivi

1. Kujiunga nssf je NIDA ndio mambo yote au unaweza kusajiliwa bila NIDA.

2. Je, hawa NSSF wakija kituoni kwenu kwa kazi wakachukua details zako especialy jina na mshahara kwa watumishi wote je wanao uwezo wa kuwaunga bila NIDA

3. Na je wakikuunga wanauwezo kukukata hela.

Msaada jamani hawa jamaa wanataka kunikata hela na nakusanya niendee kusoma na kutoa mle ni mbinde kwa maswali hayo
 
Husika na mada hapo juu wapendwa, Naomba kuuliza hivi

1. Kujiunga nssf je NIDA ndio mambo yote au unaweza kusajiliwa bila NIDA.

2. Je, hawa NSSF wakija kituoni kwenu kwa kazi wakachukua details zako especialy jina na mshahara kwa watumishi wote je wanao uwezo wa kuwaunga bila NIDA

3. Na je wakikuunga wanauwezo kukukata hela.

Msaada jamani hawa jamaa wanataka kunikata hela na nakusanya niendee kusoma na kutoa mle ni mbinde kwa maswali hayo
1. Mkuu kujiunga na NSSF unatakiwa kuwa na kitambulisho cha Taifa NIDA au Namba ya NIDA kama hauna hivyo basi unatakiwa kuwa na na leseni ya udereva au kitambulisho cha mpiga kura.
2. Navyo fahamu ni kuwa mwajiri ndio analeta taarifa za mshahara na michango ya mwanachama na ya mwajiri ambayo inakuwa ni 10% kwa mwanachama na 10% kwa mwajiri.
3. Hapo logic ni ndogo tu ukishakuwa umeajiriwa automatic unakuwa mwanachama wa NSSF basi unaanza kuchangia moja kwa moja
Kama nimeelewa hapo mwisho ni kwamba NSSF kukukata pesa kama mfanyakazi wa sekta rasmi ni kwa mujibu wa Sheria na pesa hizo huwezi kuzitoa mpaka utakapo fika umri wa kustaafu, lakini endapo utaachishwa kazk kwa sababu yoyote basi utalipwa 33.3% ya mshahara wako kwa miezi 6, kama ulikuwa haujatimiza miezi 18 kazini utapewa mkupuo wa 50% na mwisho kama ulikuwa hauna elimu kabisa Basi utalipwa pesa zako zote ndicho nacho kielewa kwenye mfuko huo mzee baba.
 
2. Navyo fahamu ni kuwa mwajiri ndio analeta taarifa za mshahara na michango ya mwanachama na ya mwajiri ambayo inakuwa ni 10% kwa mwanachama na 10% kwa mwajiri.
3. Hapo logic ni ndogo tu ukishakuwa umeajiriwa automatic unakuwa mwanachama wa NSSF basi unaanza kuchangia moja kwa moja

cc yuga

hilo ndilo Jibu hata mm nilihisi hivyo , ingawa si mwajiriwa wa Sekta yoyote wala serikali, ukishaajiriwa maeneo hayo ni lazima mwajiri atoe taarifa zako na kukupelekea michango yako
 
1. Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri NIDA hapo mwanzo hakua lazima na hata sasa sio lazima uwe nayo.
2. Wao hawawezi tu kuunga kwa kupitia majina na details za mshahara. kuna form mwenyewe unaijaza utaweka na fingerprints ndo utafunguliwa account na kupewa kitambulisho
3. Kukata hela ni compulsory na mwajiri wako ndo anatakiwa kukata hela... hii ni hata kama huna account NSSF as long as ni muajiriwa utakatwa hela ya NSSF zitakua pending hadi ukipata account ndo zitaingizwa kwenye account yako.

point hizi sio verified ni according to my understanding.
Thanks
 
Back
Top Bottom