Ulinzi wa rasilimali za Taifa, Magufuli kiboko!, hataki mchezo kabisa!, Boss wa Acacia anyimwa viza kuingia Tanzania, Barrick yafunguka kila kitu!.

Magufuli atamaliza muda wake na hizo hela hata Mia hatolipwa.
Atakuwa kama mstaafu wa afrika mashariki. Ntalipwa mwaka huu, ntalipwa mwaka ujao.
Tanzania ikifanikiwa mnasema Watanzania wamefanikiwa...Tanzania ikicheleweshwa mahali mnasema Rais Magufuli hajafanikiwa. !!! What is wrong with you people...:mad::mad::mad:
 
Maamuzi ya kukurupuka na ubabe usio na tija ngoja tuone kama utasaidia chochote ?P umeandika kufurahisha Jukwaa tu ,hao acacia sio wajinga kihivyo .
 
Unadhani minority shareholders wakilipeleka hilo shauri Arbitration itakuwaje? Au hujui kuwa Acacia ni listed company?
Tusianze wishful thinking. Hii dunia ni kubwa kuliko hizi hadithi zetu za vijiweni. Ina maana mwenye mali Barrick ana akili ndogo kuliko mtunza mali wake? Acacia iliundwa ili Kuharalisha upigaji tu
 
Yaaani dolla bilioni 190 hatukupewa wala kishika uchumba cha us mil 300? Hatupewi?
Kweli hawa acacia ni wagumu. Hawatoi rushwa kabisa.
 
Tusianze wishful thinking. Hii dunia ni kubwa kuliko hizi hadithi zetu za vijiweni. Ina maana mwenye mali Barrick ana akili ndogo kuliko mtunza mali wake? Acacia iliundwa ili Kuharalisha upigaji tu

Hujui maana ya kile nilichoandika. Kwa akili yako unaamini Acacia Mining wapo Tanzania pekee yake. Hujui ili entity iwe listed kwenye Stock exchange za kimataifa inatakiwa kutimiza compliance requirements zipi. Hujui non-controlling parties wa entities ambazo zipo listed kwenye London Stock Exchange wanalindwaje kuzuia monopoly ya major shareholders.
It is Interesting how you saw fit to use words like wishful thinking under the circumstances brought about this.
 
Haaaahaaaa...sisi wajuaji maskini. Tuendelee na ujuaji wetu usioyusaidia. Ndio maana wengi bila deals hatuwezi kupeleka maisha. Sababu ni wajuaji
 
Hiv mkuu bado hujaonekana tu.... Maana this time umeamua kusifia kwa nguvu zote
 
Wanabodi,
Hatimaye huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho jana, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.(NB.Manufaa ya kiuchumi ni economic benefits na sio faida profits)
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
 
Tatizo lako kubwa ni njaa kali.

Unaandika kishabiki kama vile Barick na Acacia ni vitu viwili tofauti.

Barrick ni Acacia na Acacia ilianzishwa na Barrick ili kuongezea mitaji ya kuanzia kwa migodi husika kwa kuuza hisa za kampuni ya acacia na si kuuza hisa za Barrick ambapo maana yake ni kuwa wataonunua hisa za Acacia ukomo wao wa kupata faida utakuwa ni faida za migodi husika tu na itapoacha kuzalisha na faida za waliochukua hisa za acacia zitaishia hapo. Barrick watabaki salama na hisa zao kwa wale tu waliowekeza barrick kwenyewe (controlled shares).

Ukirudi kwenye sakata letu, losers ni sisi kwani Barrick hapa wanacheza kama vile wao ni wakombozi na sisi tunachekelea. Kutoka billion 190 mpaka million 300 tena za masharti. Hatulioni pigo hilo?

Kama hiyo haitoshi, kesi walizofungua acacia za arbitration kuna uwezekano wa asilimia kubwa tungeshinda tena kwa kishindo. Sasa jee? Utashinda kesi ipi na umeyamaliza mezani na barrick?

Anaeona huu ni ushindi ni juha tu.

Hapa tukubali yaishe tu. Yasije yakageuka ya Nyerere na Lonrho.

Huwezi kupambana na mabeberu wa kiwango cha Barrick ukashinda. Never. Tungekashinda ka Tiny Rowlands enzi hizo, kiko wapi?

Tuwache ushabiki mandazi, tukubali yaishe tu maisha yaendelee.
 
Wanabodi,
Hatimaye huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho jana, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.(NB.Manufaa ya kiuchumi ni economic benefits na sio faida profits)
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Mkuu umeambiwa 50% yenu mtaipata kwenye taxes, loyalty and fees, sasa cha ajabu ni nini kwani siku zote walikua hawalipi mirahaba!?😬
 
Back
Top Bottom