Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

Mange anataka kuja Bongo ndiyo sababu ya kujikomba huku ili kujihakikishia hiyo December kama atakuja kweli pale Airport hawatamdaka.
Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani.

Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni.

Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia.

Kulikua na ulazima taasisi ya uraisi kujishugulisha na Mange Kimambi?

Kwa upande wangu haikua sahihi na one of the security protocols blunder.
 
Kidogo kidogo tunaiona chain inayotupa mashaka juu ya kifo cha mchapa kazi wetu

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Hakuna linalotokea bila Mungu kuliruhusu, na ruhusa yake huwa na makusudi kamili

Ila ole wake anayehusika; Yuda Iscariot, Delila na ndugu zake ndio wanaweza kukuelezea vizuri
 
Kwani anashida gani huyo Mange kimambi? Wakati unajipanga kunijibu ukumbuke pale ni marekani ambapo mambo mengi ya kipuuzi hayana nafasi kufanyika ndani ya hiyo nchi.
 
Hata mm sijapendezwa kabisa na huyo dada mchafu chafu Mange kumsogelea Mh. Rais wetu Samia.. Mange ni mchafu chafu wa tabia na matendo. Sijapenda kabisa.
 
Ajabu kubwa.yaani mnaongelea mazingira ya Marekani na Tanzania?. Aibu Iwe kwenu kabisa, mnajua uwanjani gani kiongozi wa nchi alishukia?
 
Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani.

Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni.

Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia.

Kulikua na ulazima taasisi ya uraisi kujishugulisha na Mange Kimambi?

Kwa upande wangu haikua sahihi na one of the security protocols blunder.
Mna mchecheto wa bure.
Mwalimu Nyerere alipiga picha na adui yake mkubwa, Idi Amin, tena huko huko New York.
Amin alipata wapi clearance?
idiamin na nyerere.jpg
 
Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani.

Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni.

Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia.

Kulikua na ulazima taasisi ya uraisi kujishugulisha na Mange Kimambi?

Kwa upande wangu haikua sahihi na one of the security protocols blunder.
Security protocols?!!! African presidents haswa wasio eleweka wana msimamo gani wenye mawazo ya bendera fuata upepo wakiwa nje ya Africa huwa ni kama Watu mashuhuri wengine tu, hawana thamani ya u Rais.
 
yaani huyu mange jinsi anavyotoaga matusi makubwa na ya kutisha leo anapiga picha na raisi. kukosoa kwa mange sipingi ila ana matusi sana huyu dah
 
Maisha ya mama yetu kipenzi yanachezewa na wajinga wachache wasiyo yatambua majukumu yao vyeo, nakumbuka kuna wakati hayati alikuwa kwenye uzinduzi wa Ndege baba yake Moo dewji akataka kumsalimia ila ni kwamba mkono wake ulitupwa kushoto.

Niwashauri tu wawe wanatumia mida yao hata kusoma baadhi za vitabu vitawasaidia ila hawa wetu kutwa kutumia muda huo kufanya ufuska kwa mabaa na wanawake huko mtaani.
 
Mange Kimambi ni mtanzania anayeishi Marekani.

Alijizolewa umaarafu kwa kupinga wazi wazi sera za Hayati JPM. Alishangalia kifo cha JPM na kuweka mitandaoni.

Bila kujadili kama alikua sahihi kumpinga JPM kulikua na ulazima kwa wanausalama kumruhusu kupiga picha na Raisi Samia.

Kulikua na ulazima taasisi ya uraisi kujishugulisha na Mange Kimambi?

Kwa upande wangu haikua sahihi na one of the security protocols blunder.
Timu ya Kampeni ya Mama inaandaa matarumbeta Mange ni mmoja wao

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Head of security wa mama samiah yapaswa ajiuzulu alipata wapi ujasiri wa kuruhusu mange kumsogelea mama yetu kipenzi
 
Ulinzi ulikuwa mdogo sana hadi yule stranger akamsogelea Rais.

Ila body language ya Samia ina suggest hana shida na Mange, issue itabaki kwa maafisa vipenyo, nadhani hao ndio Mange ahakikishe anapiga nao picha wengi iwezekanavyo.

Hata Manji hakutegemea yale yaliyomkuta alivyorudi Tz.
 
Back
Top Bottom