Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

Unaongea/umeandika pumba!

Kwa hiyo ulinzi mkubwa wa Rais wa Marekani, China, Urusi nikwa sababu wanachukiwa na wananchi wake?

Kwa hiyo ulinzi mkubwa wa Papa ni kwa sababu anachukiwa na waumini wake!

Ulichokiandika kinachagizwa na fikra maandazi!
Hivi wewe jamaa ni msemaji wa serikali au vipi maana kila hoja inayohusu serikali wewe ndo mkanushaji..achana na mifano ya urusi, china jibu hoja ya msingi kwa nini ulinzi unakua too much
 
Ataendelea kulindwa tu kwa mujibu wa sheria na usifikiri ulinzi ni vile unavyoviona kwa macho ..jaribu one kitakachokutokea.
Mi nimekueleza uhalisia mkuu, unapo sema nijaribu nione... Nikijaribu nitakacho ona ni kitu kimoja tu a dead top official and police all over looking for a unknown perpetrator.
 
Rais anayejiamini! Hajui hata anaongelea nini, ati najiamini!
 
Ziara ya hivi karibuni ya Rais katika mikoa ya Kanda ya Ziwa imeibua wasiwssi mkubwa wa wananchi juu ya usalama wake.

Hili limechagizwa na ulinzi wa kivita anaoambatana nao na kuzua wasiwasi huemda Rais ana maadui wengi sana aliotengeneza katika miaka hii miwili kuliko waliotengenezwa na watangulizi wao katika vipindi vyao vyote.

Hawa maadui ni akina nani??
 
Mbona wa kawaida sana. Umewahi kuuona msafara wa M7? Huwa anatanguliwa na magari ya deraya na makomandoo waliokamilika kivita wakiwa na AK47 na mikanda ya risasi imezunguka kona zote za miili yao tayari kwa "lolote".
 
Back
Top Bottom