Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Penzi siyo pesa, penzi si size ya mtarimbo, penzi si kukata viuno, penzi si kuvaa shanga...........
Penzi ni kitu kingine kabisa..........
Nimejaribu kuwaelezeni kwa lugha ya kizee hamjanielewa. Hebu msomeni mzee mwenzangu hapa chini, labda mtanielewa zaidi.Niwasaidie nini mamito? kulinda penzi? Nshawaambia penzi halilindwi....ebo!
Ama sijaelewa au nakushangaa!!
Kama siyo kutafuta BP nini???
Naamini kwenye organic products...Let things run themselves as nature wishes!!