Ulinzi wa Lissu hatari, matukio yake yote yanarekodiwa

Usipapatike ewe kachero duni!

Mimi sio mmoja wa hao uliowataja!

Mimi ni mkulima tu wa mbogamboga na mganga njaa hapa mjini!
Sawa....nami pia siyo kachero duni..Mimi ni senior citizen...Hilo la wewe mwenzangu la kuganga njaa Mimi huko siko...Mimi ni raia mwema tu..ninayeheshimu mamlaka na raia wenzangu wote ukiwemo wewe bila shaka
 
Chamuhimu chama kiwe makini tu na watesi wake, urusi huko opponent wa Putin yupo wodin hajitambui wamemlisha sumu.

So nahisi mipango kama hiyo ipo jukoni, so msiseme hatukusema
 
Hapo amewadanganya na mmedanganyika kweli kwe.
Lakini hayo hayatuhusu sisi, tuachane nayo na tuje kwenye hoja ya msingi.
Kuhusu Urais; Itakuwa ni rahisi zaidi maji kupanda mlima kuliko yeye(kuwadi wa mabeberu) kupata Urais.
 
Hizo kamera zitakuwa zimekonektiwa wapi? Mimi nahisi video zitakuwa zinaenda moja kwa moja kwa mabeberu. Bila shaka camera zitakuwa na uwezo wa kuona nyuzi 360.
moja kwa moja kwa yule mzungu mwanasheria, hahahahahha, akina siro waliposikia mzungu anataka kushtaki wote wanaotumika na kulinda usalama wa raia kuanzia barozi wa nyumba kumi mpaka muhimili feki uliojisikima matopeni wakakimbilia kumlinda lissue hahahahaha
 
Mojawapo ya magari ya msafara lina kila kitu kinachoratibu ulinzi na mienendo yote ya kawaida na isiyo ya kawaida.

Hapo kwenye hadhira hata mwenye wembe anajulikana.

Ni teknolojia mpya na ya kisasa kwa ajili ya kudhibiti wenye nia mbaya na wadunguaji.
Uelewa wako mambo ya ulinzi ni zero!! Wewe endelea kupiga ramli tu mambo ya ulinzi na usalama waachie wenyewe!
 
Nasikia lile benz la Lissu matokeo ya urais yakitangazwa oktoba na Lissu kushindwa linageuka kuwa ndege na kuruka naye kuelekea Ubeligiji.
 
Lissu anawahadaa wazungu na hasa umati aliopata katika ziara zake za utalii unampa kichwa, umati kama ule haujaanzia kwaLissu, Mrema alipata sana tu, akaja Lipumba na Ngangali akapata umati wa kutosha na wao walifikia hata kutangaza balaza la mawazi kabla ya kupiga kura, akaja Dr. Slaa naye alipata sana tu, wakamalizia na Lowasa ambaye hadi barabara zilidekiwa na kina mama kutandika khanga barabarani.

Amsterdam anatakiwa ajue kuwa kujaza umati siyo kushinda uchaguzi, kuwa wajumbe wanaofanya maamuzi, Tundu lissu anataka kuvuta pesa tu hana jipya. Historia ya nyomi kwa atanzania iko wazi.

Baada ya october Lissu hatataka hata kuongea na waandishi wa habari kwa aibu
Malnutrition
 
Na kama ndiyo hivyo, Lissu anashiriki kuhatarisha usalama wa nchi kwa ruhusu 'coordinates' za maeneo mbalimbali ya nchi kupelekwa nje ya nchi bila idhini ya mamlaka husika ya nchi yetu. Ufatiliaji ufanywe kujua ukweli wa jambo hili. Hata hivyo, nashukuru mleta mada na mkuu Mr. Pianoman kwa 'kumwaga maharage'!
Mpaka Darasa la Saba kumbe Mpo JF ?
Coordinates za sehemu mpaka kuchukua kwa Camera ?????
 
Na hapo kuna cycles tano za ulinzi ambazo ni invisible lakini si vema kulijadili hili hapa sasa hivi
Hizo cycles ni kwa ajili ya HPF(high profile figures) kama marais nk ...lakini kwa marais baadhi zinaonekana wazi kama polisi jeshi na wanausalama wengine..lakini kila cycle ina kikomo cha umbali na mhusika na kila cycle ina backup isiyoonekana
Nulijua uko kwenye ulozi tuu mkuu
 
Saver yake iko moja kwa moja Ubelgiji kwa magwiji wa Technolojia. Ile microchip iliyomo hata ukiiba ile kamera inaendelea kusend matukio. Haizimiki wala haivunjiki, ukiichoma moto unajidanganya maana imeundwa kwa level ya smallest particles kama Electrons, proton na neutron. Hazionekani kama X-rays na Gamma Rays.

Kifupi ni next level ya ujasusi.

Lissu hakuwa Ubelgiji kushangaa magorofa

Ulinzi na usalama Ni Jambo la kuzingatia Sana... Pamoja na kuwa na mbinu na vifaa vya kisasa... Inapaswa chadema wazingatie pia Safu ya ulinzi, chakula na vimininika anavyotumia TL, mazingira ya vikao vya ndani ya chama, makazi ya kulala nk.... Hizo siku zilizobaki kabla ya uchaguzi Ni muhimu Sana kwa huyo mgombea...

Dunia ya wastaarabu haipo kwaajili ya kuhakikisha Tundu Lisu anashinda uchaguzi BALI kuhakikisha Tundu Lisu anakuwa salama na anatendewa haki. Na huo ni wajibu wa jamii ya kimataifa pale ambapo kunakuwa na taifa ambalo watawala wanadhulumu raia wao.

Hali hiyo hiyo sasa inafanyika huko Hong Kong ambako madikteta wa China wamekuwa wakidhulumu haki na uhuru wa wananchi wa Hong Kong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom