Ulinzi wa Kikwete Balaa! Ma DC wote wavuliwa viatu Bukoba Airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulinzi wa Kikwete Balaa! Ma DC wote wavuliwa viatu Bukoba Airport

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutunga M, Jul 4, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Wakubwa Mkuu wa kaya jana alikuwa Bukoba kufunga maonesho ya Ushirika lakini kikubwa ni kuwa ulinzi aliokuwa naop JK haujawahi kuonekana kwa marais waliotangulia Tanzania.

  Kwanza wakati wa kuingia AIRPORT watu wote walivuliwa viatu kukaguliwa nk wakiwemo Madc wote na viongozi wote wa dini

  waandishi wote wa tv walizuiwa kuingia kwa madai kuwa hawana imani nao kiusalama

  Jk aliondoka jana jioni kwenda kigoma

  Kwa kweli huu ulinzi umeacha ,sijui ni kwa nini
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Walivuliwa viatu? Serious?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,372
  Likes Received: 22,234
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni zaidi ya Obama kwa udhalilishaji na ukiukaji wa haki za binadamu.
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Duh unajua mkuu wa Kaya hana imani na viongozi wa dini.Nawashangaa viongozi wa dini wanajipendekeza sana walifuata nini ?.
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ameingi woga, na kwa maisha ya watu wake yalivyo magumu anything is posible.
  Mkuu asije pata ugonjwa wa wasiwasi akashindwa hata kuamini kivuli chake
   
 6. The Good

  The Good Senior Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani kuvuliwa viatu Airport ni jambo la kawaida tena linafanyika siku zote.

  Hakuna ubaguzi wa cheo pale wote wanapaswa kuvua viatu ili vipitishwa kwenye x-ray kama ilivyo kwa mikoba, makoti nk.
   
 7. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hahhaha Kikwete hiii kali nadhani jamaa kaongeza chumvi

  • hana Imani na wakuu wa wilaya aliwachagau yeye na Lowasa
  • hana imani na hata viongzi wa dini
  Katika hali hiyo basi ingekuwa busara zaidi angehairisha hiyo safari au atume makamau wake . Maana kama huna imani na hata wawakilishi uliowachagua mwenyewe ........... teh teh teh
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0

  Mtu anaejua kuwa huwa anadhulumu watu hawezi kujisikia salama hata siku moja. Lazima awe na magutugutu, kila mara hudhani kuna mtu anamuwinda.
   
 9. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivyo viatu waliweza kuva tena au waliingia hivyo hivyo?...lol
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nijuavyo mimi, na kwa mujibu wa miongozo ya Usalama viwanjani hakuna mtu mwenye excuse katika kukaguliwa Airport, ispokuwa Rais, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu!
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Mkuu thread yako umeiweka kidaku zaidi kwani hujatueleza ilikuwaje wakavuliwa viatu.
  ninachojua ni kwamba airport watu wanakaguliwa na unatakiwa kuvua viatu,mkanda nk wakati wa kupita kwenye ile mashine yao ya kukagua.
  na hili haliangalii wewe ni DC au RC.ni sheria za viwanja.
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kama na viatu ni kuvua hiyo kali.Soksi vipi?
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  kidaku vipi?mbona haujaongelea juu ya waandishi wa habari kuzuiwa kwenye msafara wa JK?ama hiyo kwako si habari?
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hata mimi ningekuwa karibu naye ningemlinda sana tu, pengine ningewavua hata nguo na kuwabakiza chupi tu.....because JK kwa sasa is like a CASH COW. akifa au kudhulika, watu watakamua wapi?
   
 15. F

  FUSO JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  ulinzi wote wa nini? watu tunahangaika na kilo ya unga bei juu - yeye hata aende kwa bajaji nani kwa kumdhuru? kodi zetu hizo chonde chonde mkuu wa kaya - tusameee. tumia gari 3 kama enzi za mwalimu inatosha - wote tugawane machungu ya umaskini wa nchi yetu.
   
 16. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Wale wanaovaa soksi zilizotomboka walikuwa na wakati mgumu kweli!
   
 17. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Tangu afariki shekhe Yahya basi imekuwa taabu sana kwa Huyu Fisadi katika ulinzi wake, kwanza anajua kuwa Watanzania kwa sasa hawampendi na hawamtaki amelazimisha kuwa rais kwa kuiba kura ndio maana hajiamini
   
 18. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Sikiliza mkuu,pale Airport walidai kuwa ni kwa ajili ya usalama na pale walikuwa hawaingii kupanda ndege bali kumpokea JK kwa hiyo walivuliwa viatu kwa madai kuwa wanaweza kuhatarisha usalama.

  Mbali na Airport pia kuingia IKULU ilikuwa ni vigumu sana na watu wachache waliweza kuingia,waandishi wote walizuiwa kabisa,Hivyo hivyo hata uwanjani wapiga picha wa tv zote wakiwemo hata wa TBC(chombo cha serikali) walipigwa ban pale

  ndiyo maana lile tukio halikuweza kuwa tolewa na TV yoyote bali jana usiku mwandishi wa TBC kutoka mwanza alikuwa akiangaika kupata picha kytoka kwa mpiga picha mmoja binafsi aliyeruhusiwa baada ya kuelewana na mwana usalama mmoja.

  Hiyo ndiyo hali halisi ilivyokuwa
   
 19. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Its a joke. kuna mambo mengine yanafanyika tuuuuu kwa kuiga iga. Hata kama ni usalama wa viwanja vya ndege huwezi kuiga tu security za dar es - salaam na washinton Airport ndio hizo hizo bila kupunguz wala kuongeza ndo unazitumia Bukoba Airport. teh teh teh

  Kama unaujua Huo Uwanja wa ndege Bukoba ndio utajua kwa nn nasema its a joke.

  Nadhani kama wataalam wetu wako serius ois waache copy and paste ya mambo kunagalia umuhimu bila wake au mapungufu yake kwenye mzaingira fulani.


  Kama una wasi wasi na Usalama wa rais Uwanja wa ndege bukoba dawa na sio kuwavua ma dc( VIP) viatu dawa na kuwazuia kabisa. Kuna loophole na security holes nyingi sana pale
   
 20. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  hapa atakuwa ameanza rasmi kumhofu Lowasa, wakati yeye Lowasa hana hofu. Hivyo inadhihirisha kuwa ndani ya makubaliano yao wawili, Jk ndie aliemsaliti mwenzie.
  Kama anawahofia hao ma-dc kuwa upande wa Lowasa si awabadilishe.
  .
   
Loading...