Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
[FONT
RIP CCM.[/SIZE][/FONT]
You meam Rest In Pieces CCM!
Like hell it has to!
[FONT
RIP CCM.[/SIZE][/FONT]
angekuwa dr.slaa au zitto ningeingia barabarani ila mbowe hata ukinipa hela siingii barabarani
Naomba kuuliza wanajf na wanachadema kama mbowe atauwawa kwenye harakati hizi mtafanya nini?
Acheni fujo,hazitawafikisha popote zaidi ya kuwaudhi watanzania wengine wanaopenda haki,
Kama kukamatwa kwake ni kinyume cha sheria,hiyo itajulikana mahakamani,
Sidhani kama watu wanaweza kuvunja kituo cha polisi ili kumtoa Mbowe,mtapoteza hata kuungwa mkono na mashirika na taasisi za haki za binadamu.
utaona hapohapo ni kitatokea
haki kwa cdm haipo haujui jk ni mtu wa visasi!jana tulitahadharisha juu ya ile Press release. Haikuwa na kitu na haikujibu hoja za maana. Haikuzungumzia kama Mbowe ametoa taarifa mahakamani na pia mdhamini wake amefika. Ukweli uandishi wake uliwashtua wengi ambao wanasoma between lines. Lakini on other hand huwenda ni mtego wa CDM na serikali imeuvaa.
Lakini katika hali yoyote ni vyema kuheshimu mahakama zetu. Ni mahakama hizi ndio CCM na CDM hukata rufaa kupinga maamuzi ya chaguzi. Kwahiyo walau bado zinaaminika. Hapa polisi hawastahili kulaumiwa wao ni watekelezaji tu wa amri ya mahakama. cDM could have done better to avoid this.
Mkuu unatoa rai halafu umejificha, kwa nini usianze wewe kama mfano ingia barabarani utakuwa shujaa wetu
Ngekewa,Ndugu yangu kuwa kiongozi wa upinzani kuna maana ya kukaidi amri ya mahakama? Fikira yako kuwa kuweko kwa taifa kutategemea viongozi wa siasa peke yake bila ya sheria? unafikiri Mtikila, Lipumba, Mbatia, Mrema na wote wakubwa wa upinzani wafanye wanavyotaka kuvunja sheria hilo litakuwa Taifa la namna gani? After all ni wewe tu unayelalama lakini huu ni mkakati maalum wa CHADEMA kununua umaarufu hivyo hao viongozi wanajaribu sana kutiwa ndani na kwa vile hawapelekwi Ukonga au Segerea wana wasiwasi wa nini?
Hivi ilikuwaje Mhe. Mbowe akajipeleka Central tena?.maana ilidaiwa kwamba alikuwa tayari 'kufa akiwa amesimama' kuliko kujisalimisha polisi...
Cha msingi hapa ni kujiuliza Je,ilikuwa ni sahihi kwa Mhe. Mbowe ama Mdhamini wake kutofika mahakamani siku aliyotakiwa kwenda mahakamani kwa ajili ya kesi?,ni kwa nini Mbowe asingemtuma Mdhamini wake tu kama wenzake walivyofanya/wanavyofanya?,
Waheshimiwa Godbless Lema,Selasini na Ndesamburo ni wabunge kama Mbowe,mbona wao licha ya kuwa na kesi moja na Mbowe walifika mahakamani ama kutuma Wadhamini wao licha ya kuwa na majukumu ya vikao vya kamati za Bunge,iweje Mbowe akaidi?...
Maelezo ya Tundu Lissu ya juzi yalikuwa ni dhaifu mno,ningeshangaa sana endapo Mhe. Mbowe angeyatilia maanani na kukataa kujisalimisha Polisi,nadhani Wakili Mabere Nyaucho Marando aliliona hili na kumshauri Mhe Mbowe kujisalimisha...
Tukubali tukatae Mhe Mbowe ameidharau Mahakama(Hata kama Mahakama zetu zina udhaifu),na hizo sababu anazozitoa sasa alipaswa kuzitoa kabla.....Kimsingi hakuna sheria inayomkataza mbunge kukamatwa
Mahakama gani hiz,unaziita mahakama kweli????????????
Ni political branch ya ruling party.