Ulinzi mkali rais kikwete akizindua chuo kikuu cha Dodoma

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Uzinduzi wa chuo kikuu cha dodoma umefanyika leo katika ukumbi wa chimwaga chuoni hapo. Katika hali isiyo ya kawaida ulinzi uliimarishwa hasa katika ukumbi huo wa chimwaga. Usalama wa taifa walimwagwa kila kona ya chuo hicho. Sio kila mtu aliruhusiwa kuingia kwenye ukumbi huo bali ni watu wachache waliopewa kadi maalumu. Wahadhiri hawakua limited kuingia japo nao walipewa kadi maalumu walizozitumia kuingilia ukumbini. Ukiachilia mbali wageni waalikwa, ni wanafunzi wachache waliruhusiwa kuingia ukumbini kwa kadi maalumu jambo lililosababisha ukumbi huo wenye uwezo wa kuingiza watu takriban elfu tatu kupwaya huku viti vingi vikiwa tupu. KUBWA KULIKO YOTE ni kwamba milango ya kuingilia ukumbini iliwekewa vifaa maalumu vya ukaguzi ambapo kila aliyekua akiingia alikaguliwa na kuonesha kile alichokua nacho. NAJIULIZA ULINZI WOTE HUU WA NINI KWANI TANZANIA TUMEFIKIA MAHALI HAPO..naomba maoni yenu.
 
Kikwete anajua Watanzania wengi hawamtaki kwa hiyo anaongeza ulinzi.

Kuna kitu kingine anachojua ambacho sisi hatujui?
 
Hayo ni matokeo ya kuwa rais aliyeingia kwa kura za kuchakachua. Analindwa kiasi hicho kwa tija gani?
 
Mbona ulinzi huo ni wa kawaida kabisa....ikumbukwe kuwa kulikuwa pia na makamu wa rais, ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la chuo, na alikuwepo pia Mh Benjamin Mkapa, rais mstaafu na MKUU wa chuo kikuu Dodoma.....kwa hiyo sidhani kama wangeaford kutake risk yoyote ile.....

Na alivyokuwa nje ya chimwaga mbona mambo yalikuwa easy tu? sijaona ulinzi wa ajabu kama ambavyo tunataka tuaminishwe hapa,,,
 
Uzinduzi wa chuo kikuu cha dodoma umefanyika leo katika ukumbi wa chimwaga chuoni hapo. Katika hali isiyo ya kawaida ulinzi uliimarishwa hasa katika ukumbi huo wa chimwaga. Usalama wa taifa walimwagwa kila kona ya chuo hicho. Sio kila mtu aliruhusiwa kuingia kwenye ukumbi huo bali ni watu wachache waliopewa kadi maalumu. Wahadhiri hawakua limited kuingia japo nao walipewa kadi maalumu walizozitumia kuingilia ukumbini. Ukiachilia mbali wageni waalikwa, ni wanafunzi wachache waliruhusiwa kuingia ukumbini kwa kadi maalumu jambo lililosababisha ukumbi huo wenye uwezo wa kuingiza watu takriban elfu tatu kupwaya huku viti vingi vikiwa tupu. KUBWA KULIKO YOTE ni kwamba milango ya kuingilia ukumbini iliwekewa vifaa maalumu vya ukaguzi ambapo kila aliyekua akiingia alikaguliwa na kuonesha kile alichokua nacho. NAJIULIZA ULINZI WOTE HUU WA NINI KWANI TANZANIA TUMEFIKIA MAHALI HAPO..naomba maoni yenu.

Hapo ndipo tulipofika watanzania, ukiona ulinzi kiasi hicho kwa rais wa tanzania, wewe mwananchi wa kawaida unatakiwa kutafakari zaidi, hiyo si dalili tu ya usalama wake uko hatarini bali ni usalama wa nchi hii upo hatarini pia. sasa kama kawa watz tunaamua kuacha kutafakari jambo kwa ukubwa wake na kuachia hisia zetu na chuki kutufanyia maamuzi basi tusubiri saa.
 
jk wala asiogope tanzania ni nchi ya amani vipi jamani yule mchakachuaji thobias mwesigwa alikuwepo je amekabidhi lile tamko!
 
nilikuwa aamini hivyo, ila tangu kuanza kwa kampeni na matokeo yake, niliyoyasikia kwa masikio yangu na kuyona macho yangu yananifanya nitafakari zaidi amani hii kama itadumu kwa muda gani? si utani, tumeizoea kiasi kwamba hatuangaiki kuilinda hata chembe , I think every one has a duty kilinda amani hii
 
Hakukuwa na sababu ya kuweka mitambo ya kukagua milangoni na ku-limit idadi ya wanafunzi may ilionekana wangeweza kumuaibisha kwa namna yoyote ile. Cha ajabu rais kikwete ameishukuru serikali ya wanafunzi ya udom (UDOSO) Kwa kazi nzuri waliyoifanya ambayo nadhani ni ya kuzuia migomo chuoni hapo.
 
Badala ya kuripoti jema lililojiri hapo Dodoma, na kujivunia chuo chetu kikuu kipya na kizuri kabisa. Wewe ulienda kuripoti kuhusu ulinzi?

Au hujui kuwa viongozi wengi wakikusanyika sehemu moja huwa kuna ulinzi mkali?
 
Uzinduzi wa chuo kikuu cha dodoma umefanyika leo katika ukumbi wa chimwaga chuoni hapo. Katika hali isiyo ya kawaida ulinzi uliimarishwa hasa katika ukumbi huo wa chimwaga. Usalama wa taifa walimwagwa kila kona ya chuo hicho. Sio kila mtu aliruhusiwa kuingia kwenye ukumbi huo bali ni watu wachache waliopewa kadi maalumu. Wahadhiri hawakua limited kuingia japo nao walipewa kadi maalumu walizozitumia kuingilia ukumbini. Ukiachilia mbali wageni waalikwa, ni wanafunzi wachache waliruhusiwa kuingia ukumbini kwa kadi maalumu jambo lililosababisha ukumbi huo wenye uwezo wa kuingiza watu takriban elfu tatu kupwaya huku viti vingi vikiwa tupu. KUBWA KULIKO YOTE ni kwamba milango ya kuingilia ukumbini iliwekewa vifaa maalumu vya ukaguzi ambapo kila aliyekua akiingia alikaguliwa na kuonesha kile alichokua nacho. NAJIULIZA ULINZI WOTE HUU WA NINI KWANI TANZANIA TUMEFIKIA MAHALI HAPO..naomba maoni yenu.

jk ni mtu mzima. Anafahamu kuwa urais wake uliamuliwa na NEC na siyo wananchi. Ukitenda dhambi amani moyoni hutoweka.
 
Duuu hadi namuonea huruma chaguo la Mungu ghafla linashuka na kuwa chaguo la NEC hahahah kaazi kwl kwl
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom