Ulinzi Condoms: Jeshi la Uganda lazindua kondomu za kutumiwa na wanajeshi (BBC Swahili)

Omuzirambogo

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
685
750
Kondomu hizo zimepewa jina Ulinzi na zinatarajiwa kusaidia katika juhudi za kupunguza kuenea kwa virusi vinavyosababisha Ukimwi.
Kitengo cha kukabiliana na maambukizi ya Ukimwi jeshini kilizindua nembo hiyo mpya kwa ushirikiano na mashirika mawili yasiyo ya kiserikali, Population Services International (PSI) - Uganda na Pace Uganda.
Kwenye pakiti za kondomu hizo, pameandikwa 'Usiende Nyama kwa Nyama', kuwahamasisha wanajeshi kutumia kinga wanaposhiriki tendo la ndoa.
Tunangoja na Tanzania izindue zake!
 
Huna maana yoyote kama huwezi kuja na picha ya hizo Kondom na ulijua wazi kuwa picha zitatakiwa.
 

Attachments

  • ULINZI CONDOMZ.jpg
    ULINZI CONDOMZ.jpg
    36.4 KB · Views: 22
  • Ulinzi-Condom-for-uganda-army.jpg
    Ulinzi-Condom-for-uganda-army.jpg
    61.1 KB · Views: 23
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom