B Beyond Thinking Member Dec 4, 2010 18 0 Dec 16, 2010 #3 Sayanasi na technogia ina lengo la kumkomboa mwnadamu!, sijui kwa staili hii hawa wamekomboka vipi?
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Dec 26, 2006 4,184 671 Dec 16, 2010 Thread starter #4 Wallet said: Hizo za msaada Click to expand... hapana hio ni hela ya bumu, watoto wanajinyima kula ili wapate laptop siku hizi
Wallet said: Hizo za msaada Click to expand... hapana hio ni hela ya bumu, watoto wanajinyima kula ili wapate laptop siku hizi
Shomari JF-Expert Member Mar 8, 2008 1,112 241 Dec 17, 2010 #5 hao watakuwa ni wanaija wanaandika email za kugawana pesa
Wun JF-Expert Member Jun 16, 2008 358 72 Dec 17, 2010 #6 hii ni DIT maisha ya hostel kwa vyuo vingi ni tabu room watu kumi baada ya wanane
Good Guy JF-Expert Member Oct 24, 2010 3,809 1,406 Dec 18, 2010 #8 Is it me o is that guy playin' Hitman
A Aine JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,603 488 Dec 18, 2010 #9 Mtu wa Pwani said: View attachment 18592 Click to expand... Oh my God shule hamna hapo
T Tasia I JF-Expert Member Apr 21, 2010 1,223 193 Dec 18, 2010 #10 sas kibaya ni wanfanyia nin! wengi utakuta wanachek pono!
LD JF-Expert Member Aug 19, 2010 3,014 574 Dec 18, 2010 #11 Geto, wanakamilisha Individual project work.