Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana, Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana, Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza.

Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati.
Screenshot_2023-03-17-11-20-25-584_com.adobe.reader.jpg
Screenshot_2023-02-28-12-10-54-079_com.whatsapp.jpg
 
kinachoamua ni urefu wa safari na uzito wa kazi, how hana cha kuijaribu scania kwenye root ndefu na kazi nzito, peleka howo njia ya sumbawanga mwanza kama hujaacha hela kwa wenye scania, halafu kuita scania bei mnatumia kigezo gani nenda zako france, italy kwa wakulima huko utaikuta imebondeka tu kiana leta bongo wewe ni ugali nyama choma tu
 
Ushuru wa Scania ni kichefuchefu
 
Daah tuko burundi hapa juzi natoka kusalimiana na jamaa wa HOWO sisi tuna Scania(Zote za MO) dakika 5 nyingi kuingia wasap group limewaka moto picha zinatumwa wanasema jamaa kapata ajali kuangalia gari imeingia mtaroni kichwa chote hakitamaniki na Jamaa Kafariki on spot mwili hautamaniki..nikabaki kusema tu(Mchina ni mchina tu)yaani ajali ndogo ila outcome gari halitamaniki
Point yangu ni:
HOwo hana stamina ya mzigo mzito.
Hana stability ya safari ndefu
Ni mlaini sana
Yaani usiombe uwe na mzigo mzito kwenye mpando na howo
 
Asante kwa taarifa bwana Kenge
 
Back
Top Bottom