Ulimwengu wa sasa una maajabu mengi sana unakuta mtu anatafuta mume/mke kama anatafuta kazi vile

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,180
39,948
Ulimwengu wa sasa una maajabu mengi sana unakuta mtu anatafuta mume/mke kama anatafuta kazi vile,kirahisi rahisi tu.Kweli tumefikia huko kweli?Tujaribu kuwauliza wazazi wetu walifanikiwaje kuwapata wenza wao...
 
baba / mama zetu wamekukulia kwenye nyasi mimi na wewe tumekulia kwenye sofa.

sasa hujaona jibu hapo?
hali inabadirika mkuu.
 
Ulimwengu wa sasa una maajabu mengi sana unakuta mtu anatafuta mume/mke kama anatafuta kazi vile,kirahisi rahisi tu.Kweli tumefikia huko kweli?Tujaribu kuwauliza wazazi wetu walifanikiwaje kuwapata wenza wao...
Hata wao walipatana hivyo tena bora sisi tunatangaza wao wanapewa kabisa kama mzigo .
Huyu ndio mmeo na huyu ndio mkeo hawajakubaliana hata ni wazazi nyie kulana tu na kuoana na kuanzisha familia no discussion ajue asijue shauri yako.
Mtajuana huko huko.
 
Ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom