Mkuu acha uwizi,kama unataka kusaidia wadau kwa ulimwengu wa FTA mwambie hali halisi
Mkuu acha uwizi,kama unataka kusaidia wadau kwa ulimwengu wa FTA mwambie hali halisi
Freesat v7 HD bei haiwezi kuzidi 150000 hata uwe kijiji
V7 combo nayo haifiki 170000 hata kama upo kjjni
mkuu hizo v7 niliziuza sana na bei yake haikuwahi kuzidi 100000
mkuu hizo v7 niliziuza sana na bei yake haikuwahi kuzidi 100000
...Wakuuu anejua kubypass kingamuz cha startimes cha antena
Hiyo kitu haipo rafikiInawezekana hii??
Umejaribu aina gani ya modemwakuu anaejua kutumia internet kwenye king'amuzi cha FTA Tiger T245+pro inayo sehemu ya kuingiza flash nimejaribu kuweka modem haizomi
Modem ni ya eatel ila ni universal hivyo nimejaribu lain za eatel,ttcl na voda zote zimekataaUmejaribu aina gani ya modem
Sawa mkuu ni HUAWEI E353 1iUmeulizwa model ya modem yako mkuu..maana huenda shida ni model ya modem unayotumia na sio laini.
Jaribu Huawei E303 uone.
Ni lazima Uwe na WIFI STICK .. aka WIFI USB, au WIFI MODEM..Modem ni ya eatel ila ni universal hivyo nimejaribu lain za eatel,ttcl na voda zote zimekataa
Asante chief ndio hizo zinaitwa WI FI adapter?Ni lazima Uwe na WIFI STICK .. aka WIFI USB, au WIFI MODEM..
Unielekeze na mm jinsi ya kuangalia channel za zuku bila malipoWataalamu hebu niwekeni sawa kuhusu hili; king'amuz changu cha Azam kimepata shot na kupoteza signal, so nilichofanya nmepachika receiver ya Mediacom ya Dvb-mpeg2 katka dish la azam na kuedit sat ya Amos 7e na kisha nikaingiza freq. 12015V29950 Kisha nikascan nakupata channelz 43, congo tv, crt, rt, france24, cctv na wenzake. Ila hakuna ya kibongo hata moja au kenya, so naomba kujua kama kuna ujuz wa kupata za kibongo/kenya. Nb. Sas nmepata maujanja ya namna ya kuangalia zuku bila kulipia, na unapata channelz karibu 150 free. N pm ntakujuza