Eutelsat 10A @10Emkuu samahani labda nikuulize hilo dish unahitaji ufunge sat zipi
Nilesat @ 7W
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
Signal ipo chini kidogo nataka kuongeza
Eutelsat 10A @10Emkuu samahani labda nikuulize hilo dish unahitaji ufunge sat zipi
Eutelsat 10A @10E
Nilesat @ 7W
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
Signal ipo chini kidogo nataka kuongeza
nimekusoma kaka,upo mkoa gani kaka
Dar es salaam
kwa dar mpo mbali na beam ya astra na eutelsat 16.wengi wamejaribu wakachemka ila jaribu huenda ukazitia mkononi.mwindaji hashindwi kirahisi mkuu
Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka
msaada namna ya kupata str 4922 nipo arusha
pm mkuu nitakuuzia
Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka
Wakuu naomba kufahamu nina dishi la ZUKU je nikinunua reciver ya FTA naweza pata local chanels?
Jibu ni ndio mkuu
Nashukuru kwa hiyo uelekeo utakuwa ni huu wa ZUKU kwenye sat ya amos 5 au?
Srt mpeg2, inaweza onesha chochote hapo!Ndio mkuu nyanyua dish juu bila kwenda kushoto wala kulia utakutana na continental package11137v30000
Ndio mkuu nyanyua dish juu bila kwenda kushoto wala kulia utakutana na continental package11137v30000
Add me 0764141000 whatsapp
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
pamoja sana ngoja nijikaze nichukue recicer ya mpg4, maana hawa jamaa wa zuku nuksi sana wana kata zooooote.