Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

kwa dar mpo mbali na beam ya astra na eutelsat 16.wengi wamejaribu wakachemka ila jaribu huenda ukazitia mkononi.mwindaji hashindwi kirahisi mkuu

Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka
 
msaada namna ya kupata str 4922 nipo arusha
 
Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka

wakuu hakuna mwenye majibu ya haya?
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom