ULIMWENGU: Our civic elections are a no-brainer, but expect DJ Khaled to keep rapping

"..kama taifa tumerudi nyuma miaka 50.." na Jenerali Ulimwengu
 
state agent

What I know its only Gogo and Nyamwezi who are natives in this land. Other tribes are emulators from other countries (immigrants).
I, too, thought that gogos were the only natives in this country. but, alas, I was totally mistaken! gogos are hehes who managed to cross the river between iringa and Dodoma on a gogo. it was during a rainy season. those who succeeded to cross are the current gogos. those who failed remained hehes to date. therefore if gogos are natives then hehes are natives too. I know that you won't agree to this, as hehes are not! nyamwezi are also out!
 
if the police force belongs to the government and the government belongs to the ruling party, therefore the police force belongs to the ruling party, QED.
Huu ndio mtihani wetu sana polisi hawana uwezo wa kuibishia ccm na ndio maana wanalazimika hata kupora masanduku ya kura.
 
Tatizo kubwa la watawala wa sasa hawapendi kabisa kukosolewa, kutaadharishwa wala kuonyeka. Ni kupitia ktk mikono yao wenyewe wanabomoa kwa makusudi misingi ya utaifa wetu.

Pale watu makini kama gwiji ktk tasnia ya habari Ulimwengu wakitumia fasihi andishi kutoa taadhari juu ya viashiria vibaya vinavyooneka kwa wazi kabisa, na tena ambavyo ni wao wenyewe wamevijengea mazingira ya kushamili hutokwa na mapovu na kukwepa kuwajibika. Watawala wana kiburi cha uhai, kwa kuwa wanabebwa na vyombo vya dola, lkn ifike wakati watambue mbeleko hilo linazidi kuchakaa.

Ndiyo! Wamejisahau kwa kuwa wanatambua wapo ktk "leeway" lkn dunia sasa imekuwa ni kama kijiji. Yanayotokea kwingine yanaweza pia kutokea hapa kwetu. Kukosekana kwa haki za kiraia kutalipeka taifa letu kule ambako hata wengine walifikia na kuingia ktk machafuko makubwa.
 
Back
Top Bottom