sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,131
- 4,250
Jenerali Ulimwengu ni talented analyst lakini kuhusu hii anaonekana kama ni hypocrite tu. Pale Habari Corporation yeye mwenyewe alishindwa kuwachukulia hatua viongozi wa chini yake -- Salva Rweyemamu na Dr Shoo walikouwa wakiitafuna kampuni ile mbaya hadi mwisho ikawa muflis na kubidi kumuuzia Rostam, ambaye naye ameamua kuitoijali kampuni kabisa na kuwafanya wafanyakazi pale kuwa wanaishi kama omba omba.
Jenerali alikuwa anaona sana jinsi kampuni ilivyokuwa ikitafunwa, lakini alinyamazia tu -- sijui kwa nini!
Mkuu unaka kutuambia kufilisika kwa kampuni yake basi yeye Ulimwengu hapaswi kutoa mawazo au maoni yake binafsi kwa jamii akiona kitu au nchi inakwenda mrama ?Vigezo vipi umevitumia vya kumyamazisha mtu huru anayeweka mambo wazi kwa manufa ya umma ?