Ulimtambua vipi kuwa huyu ndiye mwenyewe?

Remmy mbona mada tayari iko mezani.....................kubwa chunguza moyo wake na usikubali hadaa za kauli au hata hisia za usoni kwake kwai hizo zimo ndani ya uwezo wake wa kukupeleka kusiko..................

Nitautambuaje huo moyo Ruta? Umejificha na watu tunaweza sana kupretend.
 
Mila na desturi haziniruhusu kuongelea haya mambo ya ni jinsi gani au ni nini kilinivutia kwa mtani wa jadi. Ila kwa taarifa tu ningepata fursa ya kuchagua upya ningechagua yuleyule na hii ni zaidi ya miaka kumi na mbili baada ya kufanya uchaguzi wa awali.
 
ruta hapa huwezi ku avoid leo,, tunataka kujua na ww ulimpataje yule enzi zako?? tunaweza na sisi tukajifunza ttukitafuta hao mr right
 
Rutashubanyuma, mi mwandani bado mwenzio sijampata ila ndo namsaka, nikimpata nitaomba huu uzi uurudishe jukwaani na mie nitoe yangu.
 
mie alikuwa kama sio kunipigia basi atanitext asubuhi,na kuniuliza nimeamkaja...siku njema etc,na jioni hivyo hivyo ataniuliza nimeshindaje nilale salama,kimbembe ilikuwa nikose simu yake/text mbona naumwa kabisaaaa..hivyo nikajua huyu ndie niliyetoka katika ubavu wake,ukimpata anayekupenda utajua tu ni raaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaa :A S confused::A S confused::teeth::teeth:
 
Hapa naona umefunguka hapa lol
 
ruta hapa huwezi ku avoid leo,, tunataka kujua na ww ulimpataje yule enzi zako?? tunaweza na sisi tukajifunza ttukitafuta hao mr right

wahida uko wapi nimesema bado natafuta....ila miujuzi atayri nimekwisha mwaga kwenye jamvi.............
 
Last edited by a moderator:
cacico hongera sana mie am still looking..................and searching these hearts for heartstrings...........to no avail, so far.................but still busier than ever before............
basi ungeniambia hata yule tu aliyedai umuongezee matumizi ya mtoto ulimpataje, just lidogo tu kha! au hata wa ujanani ulimuadmire kwa lipi?? tel us kidogo!
 
Back
Top Bottom