Ulimpata vipi huyo uliyenaye sasa?

Nilikuwa naenda kutalii maeneo ya milima siku ya Jumamosi saa nne asubuhi, na kulikuwa na ukungu wa mvua; huku nimevaa koti jeusi, kofia nyeusi, na buti kama 'Undertaker' , huko njiani ndio nikakutana na binti kavalia tshirt na jinsi, yeye anakuja upande wangu nami naenda upande wake, kumuona tu mwili wote ulitetemeka nikaishiwa nguvu. Mwaka wa 13 sasa
 
Tulikutana chini ya muembe ktk harakati zetu sijui tulikosea wapi kumbe bhana ktk ule muembe kulikuwa na nyuki wale aina ya nyigu!,wanaviuno mbonyeo Kama wana nyodonyodo!. Tulitegemea ule ndo ungekuwa mwanzo wa mapenzi yetu lkn ndo ulikuwa mwisho si kwa shughuli ile waliyotutendea nyigu wale!. Sikuwahi kumuona tena dada wa watu namimi sijui kwanini niliwategea kisogo changu wale nyigu! Maana walintranslate toka kuwa kisogo mpk kuwa usogo!!. Anyway nachokumbuka yeboyebo moja nilikuta imefika magotini nyengine niliiacha eneo la tukio.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom