Ulimi wa Nyoka Katika Noti ya 500 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulimi wa Nyoka Katika Noti ya 500

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aleyn, Mar 30, 2012.

 1. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Nimejiuliza Maswali Mengi lakini Sijapata Jibu,hivi Kwa Nini Nyoka Wa 500 ya Zamani ametoa ULIMI NJE,huku wa 500 ya Sasa hajatoa ULIMI NJE?
  Anayefahamu anijuze.
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wa zamani alikuwa wa kichovu,hali akashiba.. So hasira hazimwishi muda wote..

  Wa sasa yuko vizuri.. Hana njaa kabisa,anakula na kusaza.. Ulimi atoe wa nini??!
   
 3. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha,ina maana Miaka 5 ya kwanza tayari kashashiba,bado hii iliyobakia
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa mkuu....


   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni tofauti ya utawala wa Tanganyika wa zamani na wa sasa. Zamani ufisadi ulikuwa ama mdogo sana ama haupo kabisa kwa hiyo kula kula hovyo au kumwaga chakula ilikuwa nadra sana so hata nyoka kupata vyakula ilikuwa lazima wafanye kazi kwa hasira lakini kwa Kuna hata badhi ya nyoka wameota vitambi!!!
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni tofauti ya utawala wa Tanganyika wa zamani na wa sasa. Zamani ufisadi ulikuwa ama mdogo sana ama haupo kabisa kwa hiyo kula kula hovyo au kumwaga chakula ilikuwa nadra sana so hata nyoka kupata vyakula ilikuwa lazima wafanye kazi kwa hasira lakini kwa sasa Ufisadi mwingi sana kiasi kwamba Kuna hata baadhi ya nyoka wameota vitambi!!!
   
 7. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hahaha mwaswali mengine bana.. mimi nilifikiri huo ulimi wa nyoka unauliza swali la kuuhusisha na free-masons labda...

  haya sasa, na kwenye mwekundu wa zamani na mpya,

  mwekundu wa zamani tembo kaweka mkonge wake juu, mwekundu wa sasa tembo kaweka mkonge wake chini, hapo sasa utajiuliza swali gani?
   
 8. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano wa kuwa na mkona wa Masonic hapa
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280

  tembo wa zamani alikuwa hali, tembo wa sasa yupo busy kutafuna........
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ndo maanake..
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mageuzi kawaona hadi wenye vitambi,mchezo..!
   
 12. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Aliyemshibisha nani jamani???
   
 13. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi lakini haya manyoka kwenye noti yanafanya nini?
  Mimi nilijua nyoka wa aina hiyo ni alama ya tiba kwa hiyo alitakiwa awe kwenye hospitali, sasa kwenye hela anatafuta nini? Au ndo umasonic?
   
 14. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,033
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hayo ni mambo ya fremason stori ilisimuliwa kitambo .eti hela ziwe na mvuto.nguvu.au isishuke thamani
   
 15. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Nchi inaongozwa na Wachawi,wanaboa sana.
   
 16. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Wasiojua basi wakaamini
   
 17. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he mambo ya freemanson kama kawa......kwann kila kitu tunasingizia free manson?
   
Loading...