joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Bajeti ya Kenya ya mwaka huu wa fedha 2019/2020 ni Kshs 3.1Trl, wakati nakisi ya bajeti(Deficit) ni 607.8B. Hii ni kusema kwamba 20% ya matumizi wanayopanga wakenya wanategemea kutembeza bakuli, kuomba wahisani.
Hii tabia ya wakenya kupanga kutumia pesa nyingi kuliko uwezo wao, imekua ikijitokeza kila mwaka, huku nakisi ya bajeti nayo ikiendelea kuwa kubwa mwaka hadi mwaka.
Jambo la kushangaza ni kuona wakenya wakishabikia nchi yao kupanga matumizi makubwa nje ya uwezo wao, matokeo yake nchi inaendelea kuzama kati Lindi la mafeni , na wananchi wakizidi lukamuliwa kodi na kusababisha hali ya maisha ya mkenya wa kawaida kuzidi kuwa mbaya.
Swali ninalotaka kuwauliza wakenya, hivi kweli ni busara kupanga bajeti kubwa zaidi ya uwezo wenu na kuendelea kuitumbukiza nchi katika madeni, au ni bora kupanga bajeti inayoendana na kipato chenu?