Ulimaji wa vitunguu

Heshima kwenu ndugu zangu..
Me napenda kuuliza hivi siwezi anza kulima vitunguu kipindi hiki..?
Kuanzia mwezi huu
Unataka limia wapi/ mkoa gani na kuna hali/ri gani ya hewa huko kwa kipindi hiki
 
Kwa morogoro mwezi July unaweza panda tuu cha msingi kuhusu mvua hakikisha maji hayata tuama pia usipande kwenye mkondo wa maji kozi ikitokea ikanyesha vitazongwa. For emergency you will have to prepare for fungicides hasa botrytis na insecticides koz nikipondi ambacho wadudu huwa wengi.

Lkn tambua ukipanda mwezi huu (July) vitatoka October au Novemba hiki kipindi Vitunguu huwa vingi sana kiasi kwamba bei huwa chini vinginevyo hifadhi uje kuuza mwezi February hadi June.

Changamoto Vitunguu mbegu nyingi huweza kuhifadhika kwa muda usio zidi miezi mi3 mfano Red Bombay inachukua muda hata miezi miwili haifiki
 
Vinginevyo utahifadhi 30 bags mwezi November na ikifika February utakuwa na less than 20 bags vingine utakuwa umetupa
 
Kwa morogoro mwezi July unaweza panda tuu cha msingi kuhusu mvua hakikisha maji hayata tuama pia usipande kwenye mkondo wa maji kozi ikitokea ikanyesha vitazongwa. For emergency you will have to prepare for fungicides hasa botrytis na insecticides koz nikipondi ambacho wadudu huwa wengi.

Lkn tambua ukipanda mwezi huu (July) vitatoka October au Novemba hiki kipindi Vitunguu huwa vingi sana kiasi kwamba bei huwa chini vinginevyo hifadhi uje kuuza mwezi February hadi June.

Changamoto Vitunguu mbegu nyingi huweza kuhifadhika kwa muda usio zidi miezi mi3 mfano Red Bombay inachukua muda hata miezi miwili haifiki

Asante mkuu
 
Unaweza kulima tu mkuu hakuna tatizo, hila kama ulivyoshauriwa hapo juu ni ushauri mzuri.......kuhusu bei vikiwa vingi sokoni ujiandae kuuz 80,000 kwa gunia na sio 230,000 kama vikiwa kwenye muda wake mzuri.

But kama utalima ekari kuanzia 3 na ukavilima kibiashara kama inavyoshauriwa basi hata ukiuza kwa bei ya hasara niliyoitaja hapo juu ujue kwako bado itakua faida ndio uzuri wa kitunguu.
Pia kuwa makini na madawa na mbolea maana huu msimu wa baridi magonjwa huwa hayachezi mbali.

NOTE:
Kama unaweza kuwa na access na watu wa sudan kule gunia huwa likifika tu starting price ni $320 hapo hakuna bargaining ni unaramba chako unaondoka.
 
wewe huna connections za sudan tufanye biashara hii
 
Go on! go on! just proceed if you are well prepared with all the required needs.
Dont look on the constraints rather be watch to them with an eagle eyes!
Wish you all the successes and in case you come across with anything (down falls) please keep me posted!
NB. If you need a back load of onion seeds NENDA LUMUMA(MPWAPWA) wanazo mbegu nzuri sana that will meet your desire interms of quality, durability(shelf life), cheap and am sure you gonna have a time to ask and witness some tycoon people who are fully embended into this business.
 
Kwa morogoro mwezi July unaweza panda tuu cha msingi kuhusu mvua hakikisha maji hayata tuama pia usipande kwenye mkondo wa maji kozi ikitokea ikanyesha vitazongwa. For emergency you will have to prepare for fungicides hasa botrytis na insecticides koz nikipondi ambacho wadudu huwa wengi.

Lkn tambua ukipanda mwezi huu (July) vitatoka October au Novemba hiki kipindi Vitunguu huwa vingi sana kiasi kwamba bei huwa chini vinginevyo hifadhi uje kuuza mwezi February hadi June.

Changamoto Vitunguu mbegu nyingi huweza kuhifadhika kwa muda usio zidi miezi mi3 mfano Red Bombay inachukua muda hata miezi miwili haifiki
Ahsante sanaaa mkuu..nmekupata sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom