Ulilipendea nin jina lako la JF

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Yan nimekutana na majina mazuri na mabaya hapa Jf, mengine yanafurahisha ukilisoma tu waanza mjengea picha alivo. Mie binafsi wakati nipo O-level kulikuwa na mdada anamasaburi balaa tukawa tunaita Mbweta tang hapo jina likawa lipo kichwana nlivokuja jiunga JF nkaona nilitumie. We je ni kipi kilikusukuma kuachagua ilo jina?
 
Back
Top Bottom