ULIKWAMA WAPI KUSAJILI NGO's YAKO TUKUSAIDIE?


hoter.one5

hoter.one5

Senior Member
Joined
Sep 9, 2013
Messages
113
Points
225
hoter.one5

hoter.one5

Senior Member
Joined Sep 9, 2013
113 225
HABARINI ZA HUMU NAJUA WAPO WANAO ENDESHA MASHIRIKA YASIYO YA KISELIKARI HUMU AU WAPO WANAOHITAJI AU KUFIKIRIA KUANZISHA MASHIRIKA HAYO WASILIANA NASI OFISI ZETU ZIPO DODOMA NKUHUNGU MANDELA ROAD KARIBU NA KANISA LA ROMA MT.GEMMA TUNAJIHUSISHA NA UANDAAJI WA KATIBA NA DOCUMENTS ZOTE MUHIMU ZINAZOHITAJIKA KATIKA USAJILI WA NGO's NA TUNA UFAHAMU MKUBWA KATIKA KUFANYA UFATILIAJI NA KWA WALE WANAOHITAJI KUFANYA CORRECTION BAADA KUSOMWA KWA KATIBA ZAO NAOMBA TUWASILIANE KWA NAMBA HII WHAATSAPP 0764 530 882 ASANTENI.KARIBUNI.
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,969
Points
2,000
Age
31
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,969 2,000
Mkuu hiyo huduma ni bure au kuna malipo,maana haujafafanua vizuri?
By the way nimewahi siti ya kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hoter.one5

hoter.one5

Senior Member
Joined
Sep 9, 2013
Messages
113
Points
225
hoter.one5

hoter.one5

Senior Member
Joined Sep 9, 2013
113 225

Forum statistics

Threads 1,285,935
Members 494,834
Posts 30,879,477
Top