Ulikuwa wapi Siku zote?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,015
Ulikuwa wapi siku zote kusema kuwa hakufikishi kileleni, au hajui majamboz, au hajui kuoga?
Mmeachana ndio unaanza kuyaongea hayo why??
 
Ili usipate mwingine na iwe vigumu
Upate machungu zaidi
Na bado utatukanwa sana mpaka uhame mtaa:A S-alert1:
 
images
A thin Line Between Hate and Love!!!!!!!
 
Mi huwa kama mtu haniridhishi namueleza tukiwa ndani ya uhusiano ili ajirekebishe na nipate kilicho bora.
Tukiachana hamna haja ya kutukanana, tunaachana kwa amani na salama, ni tukionana namuomba tena mchezo
kwanini umemuacha kama hutaki siri zako zitoke nje?
 
Nyie ndio huwa mnang'atwa ndimi na sehemu zenu za siri kwa kutaka kujistarehesha bila ya huruma na wale uliowaumiza moyo
mi huwa kama mtu haniridhishi namueleza tukiwa ndani ya uhusiano ili ajirekebishe na nipate kilicho bora.
Tukiachana hamna haja ya kutukanana, tunaachana kwa amani na salama, ni tukionana namuomba tena mchezo
 
Back
Top Bottom