Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,491
- 3,998
Jibu konki kabisa hiliKabla ya kuzaliwa wewe hukuwa mwanadamu bali ulikuwa mbegu, nusu kwenye korodani za baba yako na nusu kwenye ovari za mama yako.
Baada ya tendo la ndoa kufanyika ndipo hizo mbegu mbili zikaungana na wewe ukatengenezwa tumboni mwa mama yako.
Hii maana yake ni kwamba kama baba yako angelala na mwanamke mwingine basi wewe usingekuwepo kabisa hapa duniani.