Ulikuwa Usiku Matata na Captain....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,219
36,215
Ilianza hiviii.....

IMAG2172.jpg


Mvua njoo katarina usijee....

Mtu akafungwa kitambaa usoni tayari kwa kutekwa...

Nilimfungua kitambaa baada ya mlo kuwasili mezani, muda wote huo alikuwa anapata mabusu tuu bin dendraaazzzz eeheheheheheeee
Kasie mie, ngoja nipunguze vurugu.

IMAG2175.jpg


Mahaba ya Kihindi ya kulishana hayakuwa mbali...

Nilishe Captain wangu, ioneshe Kweli tunapendana eeh, nilishe nikulishe... Ni ishara ya upendo ooohh basi nilikuwa kama Kinda la ndege, namwambia Captain nimeshiba... yeye ananilisha tuu uuhhh sikuvimbiwa ila sikuacha kupokea nlichokuwa nalishwa...

IMAG2176.jpg


Na usiku Matata na Captain uliishia hapaa.... (inahifadhiwa).

Kumepambazuka hiviii....

Screenshot_2019-11-09-10-53-46_1.jpg


Hali ya hewa safiii......



Thank you Captain for the date, the slow motion thing....

Kasinde Platinum Matata.
 
Upepo wa kisulisuli unashawishiwa kivingine.

Haina kisulisuli hii KJ, hii ilianza na vuli sasa na kuendelea ni mavuno tuu ije jua inyeshe mvua ni mavuno tuu in slow motion

Kapteniiiiiiiiiiiii wuuuhuuuuuuu....
 
Nami nilipize kisasi.. alikuwa mwanamke wa haja aliesimama mbele yangu!, tabasam lake jepesi lilitosha kuuhusudu ubishi wangu na kunifanya nipeperuke kwenye ulimwengu wa mahaba.

Alikuwa utupu mbele yangu!! Hili tu lilitosha kunitia wazimu hata kulisahau neno "hapana"!

Huku nikiwa nimeshikwa na bumbuwazi, taratibu alijisogeza mbele yangu huku akiitafuna midomo yake katika namna ya ya kudeka!

Macho yake malegevu nayo hayakuwa nyuma yalilembuka kana kwamba hayakuonja usingizi Karne 4 zilizopita.

Alikuwa ni yeye alienza kwa mabusu motomoto tena yenye joto,yaliyomshtua kambale na kumfanya ajitokeze kwenye umati wa watu hawa wawili.

Ulikuwa ni mchezo wa nipe nikupe!,uzuri wake malidadi ulinifanya nitutumke tena na tena hata kulisahau lile neno "kuchoka"😎😜
 
Mvua ya kisulisuli

Ahahahahaaaaa sukariiiii acha tuu ilaa..

Bado sauti inanijia akilini alivyokuwa ananong'ona sikioni mwangu.....
you can take, you can take, you can take your time baby.... In slow motion wuuuhhhh najikuta tuu kimesimama in wettywetty condition.....

Weeeh sukari mambo, hivi kisulisuli ndo nini nasikia tu watu wanaandika humu mmoja wao ni wewe.....

Usiku Matata na Captain ulitendewa haki.... In slow motion....
 
Nami nilipize kisasi.. alikuwa mwanamke wa haja aliesimama mbele yangu!, tabasam lake jepesi lilitosha kuuhusudu ubishi wangu na kunifanya nipeperuke kwenye ulimwengu wa mahaba..
Alikuwa utupu mbele yangu!! Hili tu lilitosha kunitia wazimu hata kulisahau neno "hapana"!!,huku nikiwa nimeshikwa na bumbuwazi, taratibu alijisogeza mbele yangu huku akiitafuna midomo yake ktk namna ya ya kudeka!,macho yake malegevu nayo hayakuwa nyuma yalilembuka kana kwamba hayakuonja usingizi Karne 4 zilizopita.
Alikuwa ni yeye alienza kwa mabusu motomoto tena yenye joto,yaliyomshuta kambale na kumfanya ajitokeze kwenye umati wa watu hawa wawili.. ulikuwa ni mchezo wa nipe nikupe!,uzuri wake malidadi ulinifanya nitutumke tena na tena hata kulisahau lile neno "kuchoka"😎😜

Aahahahahahaaa KENZY mbona kama umenidiskraibu mimi vile eheheheeeeee

Hapana chezea Mahaba Matata in Slow motion......
 
Aahahahahahaaa KENZY mbona kama umenidiskraibu mimi vile eheheheeeeee

Hapana chezea Mahaba Matata in Slow motion......
Kama huyo kaptein ni Mimi Basi jua ni wewe lakini kama huyo kaptein si mimi basi huyu niliyemdiskraibu hapa atakuwa ni chepuko langu la nguvu.!!😎😜🏃
 
Kama huyo kaptein ni Mimi Basi jua ni wewe lkn Kama huyo kaptein si Mimi basi huyu niliyemdiskraibu hapa atakuwa ni chepuko langu la nguvu.!!😎😜🏃

Aahahahahhahaaa Kenzy, wivu utakuzeesha eehehehehe
Unafikiri mimi nna wivu basi, mie wivu sina najua kutoka mahaba tuu aahahahahaa

Matata K.
 
Hahaha haya Kasie Kasinde

Ahahahahaaaaa sukariiiii acha tuu ilaa..

Bado sauti inanijia akilini alivyokuwa ananong'ona sikioni mwangu.....
you can take, you can take, you can take your time baby.... In slow motion wuuuhhhh najikuta tuu kimesimama in wettywetty condition.....

Weeeh sukari mambo, hivi kisulisuli ndo nini nasikia tu watu wanaandika humu mmoja wao ni wewe.....

Usiku Matata na Captain ulitendewa haki.... In slow motion....
 
Back
Top Bottom