Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,211
- 36,193
Ilianza hiviii.....
Mvua njoo katarina usijee....
Mtu akafungwa kitambaa usoni tayari kwa kutekwa...
Nilimfungua kitambaa baada ya mlo kuwasili mezani, muda wote huo alikuwa anapata mabusu tuu bin dendraaazzzz eeheheheheheeee
Kasie mie, ngoja nipunguze vurugu.
Mahaba ya Kihindi ya kulishana hayakuwa mbali...
Nilishe Captain wangu, ioneshe Kweli tunapendana eeh, nilishe nikulishe... Ni ishara ya upendo ooohh basi nilikuwa kama Kinda la ndege, namwambia Captain nimeshiba... yeye ananilisha tuu uuhhh sikuvimbiwa ila sikuacha kupokea nlichokuwa nalishwa...
Na usiku Matata na Captain uliishia hapaa.... (inahifadhiwa).
Kumepambazuka hiviii....
Hali ya hewa safiii......
Thank you Captain for the date, the slow motion thing....
Kasinde Platinum Matata.