Ulikuwa ni msiba mzito kwa KakaKiiza.......!

..Muwe na subira Kaka Kiiza, watoto wenu wapendwa Ellen na Adelaide na familia nzima.
Apumzike kwa amani Mama Adelaide.
 
Safi sana Mzee mwenzangu Mtambuzi kwa kuweka Waraka huu kama ambavyo uliahidi. Yani niliwish tuendelee kukaa na KakaKiiza kwa pa1 kwa kitambo kirefu ili tuendelee kufurah naye pa1 kama ambavyo alivyofarijika jana tulipokuwa naye pa1 tunapga story mbili tatu. Alionekana mwenye furaha, amefarijika na kuwa na ujasiri kutokana na uwepo wetu pa1 naye.

Tuendelee kumwombea kwa Mungu ampe nguvu na ujasiri zaidi katika kipindi hch kgumu kwake na familia yake...

Pole sana KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KaKiiza, lakini ni njia yetu sote.
Hii inatukumbusha sote kuwa tayari kwa waamini.


If you have friends in Gloryland
Who left because of pain,
Thank God up there, they’ll die no more
They’ll suffer not again

Then weep not friends,
She is going home
Up there we’ll die no more
No coffins will be made up there
No graves on that bright shore

The lame will walk in Gloryland
The blind up there will see
The deaf in Gloryland will hear
The dumb will talk to me

The doctor will not have to call
The undertaker – no
There’ll be no pain up there to bear
Just walk the streets of gold

We’ll need no sun in Gloryland
The moon and stars won’t shine
For Christ himself is light up there
He reigns of love divine

Then weep not friends,
She is going home
Up there we’ll die no more
No coffins will be made up there
No graves on that bright shore
 
Pole sana Kakakiiza kwa kuondokewa na Mkeo, Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
dah so sad....

hakuna jambo linalouma kama kufiwa na umpendae....

Mungu akutangulie na kukupa moyo wa subira na akuvushe kipindi hiki kigumu unachopitia.....


 
Asee.... KakaKiiza pole sana ndugu.....umeondokewa na nguzo muhimu ya maisha yenu.....be strong mkuu...for the kids!
Pole sana
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha. Pole Kaka Kiiza. Sipendi kulaumu lakini nimejiuliza ni kwa nini kwa Tanzania mimba zimekuwa sawa na ugonjwa au niseme tu ni kufa na kupona?? Why???? Ni wapi tumezembea??? Imekuwa jambo la kawaida kwa sasa kusikia mtu amekufa kwa sababu ya uzazi mpaka imekuwa inaongeza BP kwa wajawazito wakifikiria kama watapita salama.

Huduma mbaya za hospitali zetu, health center zinapogeuka disease centers unategemea nini? Mungu atunusuru tu, maana madaktari wamejaribu kutunusuru lakini Janga la Kitaifa linazidi kutuulimbwoka!
 
Thanks Mtambuzi kwa ulivyoweka ...at least tumepata details za kilichotokea..
But all in all narudia kumpa pole ndugu yangu KakaKiiza..msiba wa kuondokewa na mpendwa wako hauvumiliki..
Namuombea tu kwa Mwenyezi Mungu ili ampe faraja kwa kipindi hiki kigumu cha maisha yake!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KakaKiiza...tunakuombea faraja, upendo na baraka zake Mungu ziwe pamoja nawe na watoto hasa katika wakati huu ambao ni mgumu mlipompoteza mpendwa wenu! Mtambuzi asante kwa kutupa details!
 
da ni uchungu sana kuondokewa na mama watoto jamani Mungu awatie nguvu na awape faraja katika kipindi hiki kichungu sana na akuongoze katika malezi ya wanao bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe R.I.P mama Ellen
 
Asante Mtambuzi kwa taarifa hizi, na kwa KakaKiiza, tunampa pole sana za dhati na upendo mwingi na kumuombea Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu aliachonacho kwa sasa kwa kuondokewa na Mkewe.
Mungu amlaze mahali pema shemeji yetu.
 
Last edited by a moderator:
Ametangulia nasi tu nyuma yake, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Subira mahala pema AMINA.

pole sana sana KakaKiiza Mwenyezi Mungu akupe moyo wa ujasiri wa kukubaliana na yaliyotokea na Roho wake Mtakatifu akufariji katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom