shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,357
Binafsi nilipokuwa mtoto nilitamani sana kuwa daktari sababu ya mzunguko wa familia ulivyo ila sikwenda mbali sana nikawa nesi. Na naipenda kazi yangu vibaya mno.
ulipokuwa mtoto ulitamani kuwa nani uwapo mkubwa na je ulicho tamani ndicho
unachofanya sasa? na unaipenda kazi yako?
funguka
ulipokuwa mtoto ulitamani kuwa nani uwapo mkubwa na je ulicho tamani ndicho
unachofanya sasa? na unaipenda kazi yako?
funguka